Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

Si nshatoa sababu, kusema tukio lilitokea may.....huo wimbo waliokua wanaplay, may ulikua bado haujatoka.
Hoja yako ni ya msingi sana,kukosea muda wa jinai kufanyika huwa inaibua k8tu kinaitwa alibi inatamkwa alabai kesi inakosa mantiki kabisa
 
Unanitega bosi niseme ndio uniunganishe kwenye chain ya wasambazaji wa maudhui yasiyofaa?VIdeo imesambaa dunia nzima hakuna mtu hajaiona
Sasa kama umesema hakuna kosa la kusambaza maudhui yasiyofaa mtandaoni unaogopa nini mkuu?

Kasome sheria ya Cyber crime Act na regulations zake utagundua ulichoandika ni upupu.
 
Sasa kama umesema hakuna kosa la kusambaza maudhui yasiyofaa mtandaoni unaogopa nini mkuu?

Kasome sheria ya Cyber crime Act na regulations zake utagundua ulichoandika ni upupu.
Charge sheet inaruhusiwa kurekebishwa na kesi haijaisha bado iko mahakamani,think big broo
 
WanaJF, huu mdahalo aisee nauvutia taswira kana kwamba ndio tupo Mahakamani sasa Wakili kanuna halafu mvutano baina ya pande mbili
 
Wawe huru tu.wananchi tupo tunawasubiri.
Ile clip ilikera watu engine sana hata kwa
Wale waliyoiona then wakadinda....
Kumbe dunia hii wewe hauijui!

Unadhani wote wale waliopaza sauti zao kulaani ni watu wema!

Mtu mwingine jaziba zake zinatokana na namna picha lilivyochezwa na hao vibaka, roho inauma kutokana na kujiona kuwa yeye ni dhalili kwa mambo hayo, alishafanya sana umafia lakini si kwa 'ubora' uliofanywa na hao wahuni wenzake.

Kwenye makosa ya wizi ama uzinzi, utasikia jitu linauliza: ... 'kwani alifanya mara ngapi'... Jibu hapo halileti releaf bali ni kuongeza hasira.
Maana kikitajwa kiwango cha juu ambacho yeye hajawahi kukifikia, mama yangu anaua mtu kwa ghadhabu.

Ndiyo maana utakuta mwizi anaua na kuchoma moto mwizi.

Mzinifu anamchukia mgoni na akikamata anaua.

Hakimu mpenda rushwa anamfunga mpokea rushwa nk nk.

Mhalifu yeyote huumia sana kuona aina ya uhalifu ambao huutenda yeye sirini, kumbe kuna wenzake huutenda kwa kumzidi sana yeye kwa viwango.

Ndiyo maana sasa kwa issue hii, vibaka wote Tz nzima wamekasirika na kuungana na Jamhuri kulaani.
 
Ni ujanja wa kijinga sana ule.. wanajuta sahiv mana maisha hapo yanaharibika kwa namna nyingi tu
Ulevi huleta uzembe na kujisahau kwa baadhi ya watu mixer kupuuza Mambo ya msingi wengine HAWAJAWAI ku husler kabisa ndio wanajisahaugi kabisa.

Alaf afande mzima anafanya Mambo ya kitoto (yaan anatafuta wapuuzi wa tano wasio jielewa wajirecord upuuzi then wajiletee matatizo)
 

Ongezea kosa la kula njama kufanya uhalifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…