Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

Tukio limetokea miezi minne nyuma kuthibitisha kuwa aliingiliwa kinyume na maumbile ni ngumu sana,inatakiwa ukitoka kulawitiwa breki ya kwanza police na hospitali
kuthibitisha,kesi ndogo sana hii
Ina maana ile video hamuoni jamaa anasema zamu yake mavi?
 
Mbona aliyewatuma haonekani mahakamani? Jamani Tanzania hiii!
 
Mhalifu yeyote huumia sana kuona aina ya uhalifu ambao huutenda yeye sirini, kumbe kuna wenzake huutenda kwa kumzidi sana yeye kwa viwango.

Ndiyo maana sasa kwa issue hii, vibaka wote Tz nzima wamekasirika na kuungana na Jamhuri kulaani.
Na Wewe kaungane nao Ila wakija hukumu yetu ni Ile tunafyeka ni mwendo wa kuitisha Mwizi na kutembeza Beto baada ya hapo haijulikani nani alieua Mwizi huyo maana baada ya kuua Mwizi huyo kila mtu anasambaratika eneo la tukio kwa hio wape vichwa hivyo hivyo Ila waambie washajulikana huku Wananchi wenye hasira kali watathibitisha hasira zao baada ya wao kuachiwa labda wakimbie Nchi
 
Haukunielewa nilichosema.
 
Ulevi huleta uzembe na kujisahau kwa baadhi ya watu mixer kupuuza Mambo ya msingi wengine HAWAJAWAI ku husler kabisa ndio wanajisahaugi kabisa.

Alaf afande mzima anafanya Mambo ya kitoto (yaan anatafuta wapuuzi wa tano wasio jielewa wajirecord upuuzi then wajiletee matatizo)
Kwq mtu kama mm hata nilipwe kias gan sifanyi ule ujinga. Hawa wanahangaishwa na ile mentality kwamba Mwanajeshi aogopwe tu. Usikute wametumia kigezo cha wao wote wanajeshi so atelier tu...

Hapo kuna makosa watashitakiwa na serikali moja kwa moja sio survivor. Kama bange, matumiz mabaya ya jina la chombo cha ulinzi na usalama cha taifa kama ikileta viashiria viashiria.
 
Hivi under 18 mbona haitamkwi,kalikua na miaka mingapi kale 🙄
More than 18 inasemekana alikuwa mfanyakaz wa baa fulani ya huyo mama alietuma vijana. Kuna kosa akijichanganya pamoja na yeye ataingia kwenye mikono ya sheria. Hapo anatakiwa asimame kama muhanga moja kwa moja
 
Unanitega bosi niseme ndio uniunganishe kwenye chain ya wasambazaji wa maudhui yasiyofaa?VIdeo imesambaa dunia nzima hakuna mtu hajaiona
Mimi sijaiona bhana. Nitumie basi ili wote dunia nzima tuione wote
 
Unanitega bosi niseme ndio uniunganishe kwenye chain ya wasambazaji wa maudhui yasiyofaa?VIdeo imesambaa dunia nzima hakuna mtu hajaiona
Huwezi amini hii video kila nikiingia mtandaoni watu wanaizungumzia lakini sijaiona (sasa sijui nipo peke yangu ndo sijaona) ila hata link hawatoi na sie wengine tuone jamani huenda tukasaidia kufungua mashitaka
 
Hivi ile video watu hawajapiga hela kwa kuiuza ? Imagine mtu kaiweka huko xxporn hapigi hela za bure ? Au kuna sheria ngumu za ku upload video isio kuhusu huko xxporn ! Inawezekana hao jamaa waliiuza kwenye mitandao ya xxx, kama walifanya hivyo basi wanaozo pesa ndefu watatafuta jinsi ya kuzitakatisha.
Imagine watu laki 1 wainunue kwa 2000 tu.
Hao jamaa mpaka sasa ni mamilionea. Nawaza tu.
 
Kesi ngumu sana hii:

1. Hakuna physical evidence: DNA, labda kama victim alitunza nguo alizovaa siku ya tukio.

2. Hakuna shahidi #2

3. Ushahidi pekee ni wa picha mjongeo.

Electronic Transactions Act and the Evidence Act (Tanzania)

1. Authenticity
The electronic record must be proven to be genuine and free from tampering or alteration. This means that, the evidence is genuine or worthy of what it says it is.

2. Accessibility
The electronic record must be accessible and able to be presented in a form that can be understood by the court.

3. Reliability.
The electronic record must be reliable and accurate. This means that, an electronic evidence is believable or trustworthy.
Sijaoenda alichofanywiwa binti ila kesi ni ngumu jama ukivyosema,jamaa wakioata mwanasheria mxuri watashangaza dunia
 
Pale kuna kosa kama 4
Ubakaji
Ulawiti
Kusambaza picha zenye maudhui yasioyofaa
Matumizi ya madawa ya kulevya

Wataalam wq masuala ya kijamii wana kitu kinaitwa "Crimes in the name of honour"
la picha zenye maudhui sawa lkn madawa sahau! huwezi ku prove madawa kwa picha ama video! mtu anaweza kukana madawa lazima yathibitike dhahiri!.
ulawiti kama video ilionyesha akilawitiwa sawa lkn kama haikuonyesha utaprove vipi na ishapita miezi kedekede means hawawezi kumpima!.
ubakaji hapo sawa.
 
Huwezi amini hii video kila nikiingia mtandaoni watu wanaizungumzia lakini sijaiona (sasa sijui nipo peke yangu ndo sijaona) ila hata link hawatoi na sie wengine tuone jamani huenda tukasaidia kufungua mashitaka
Tatizo uko magroup ya watakatifu
Kuna magrouo ya wahuni ndio utaikuta huko
 
Sijaoenda alichofanywiwa binti ila kesi ni ngumu jama ukivyosema,jamaa wakioata mwanasheria mxuri watashangaza dunia
makosa yapo ila tu wanaweza kupunguza adhabu sema swala la ubakaji hawawezi kuliepuka hichi ndio kitanzi kitakachowala!. ila kama kuna mtu hakuonekana kwenye kamera anaweza kuepuka!. ila najua watalambwa tu adhabu hawa ili kuwaridhisha watanzania maana kimenuka!.
 
Wakisema walikubaliana na victim,je victim alichukua hatuagani baada ta kubakwa
 
Back
Top Bottom