Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

makosa yapo ila tu wanaweza kupunguza adhabu sema swala la ubakaji hawawezi kuliepuka hichi ndio kitanzi kitakachowala!. ila kama kuna mtu hakuonekana kwenye kamera anaweza kuepuka!. ila najua watalambwa tu adhabu hawa ili kuwaridhisha watanzania maana kimenuka!.

Ni ngumu sana kukutwa na hatia
 
Kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti,na mavi ina maana nyingi tu,
Katika ngono mavi yana maana gani? Japo mimi sijui sheria ila nnafahamu unaweza usie ila ukisema "nitakuua" tayari una hatia
 
Wakisema walikubaliana na victim,je victim alichukua hatuagani baada ta kubakwa
victim anaonekana akilalamika so halikuwa kubaliano na ile video akionyesha unyonyo alilazimishwa kuomba msamaha,hichi kinatosha kuwa alilazimishwa. victim anaweza kujitetea kwa kusema aliogopa kama angetoa ripoti angepatwa na baya zaidi kwani watu waliomfanyia hivyo unajua kazi yao!.
 
Pale utakapoambiwa delay in reporting crime rise some doubts on the prosecution case and the long established and celebrated principle in criminal cases provides that whenever there is a doubt,such doubts has to be resolved in favour of accused😂😂😂
 
Ni ngumu sana kukutwa na hatia
hatia zipo isipokuwa tu adhabu ambayo walitakiwa wapewe haitakuwa kali ila nachojua kwakuwa watz walishupalia hawa watatiwa ndani litapoa wataachiwa baadae huko.
 
Dogo tulia Hapo hamna kosa la kubaka kuna kosa la kubaka kwa kundi yaani Gang rape makosa hayo ni mawili tofauti na hukumu yake ni tofauti, kubaka ni miaka 30 na kubaka kwa kundi (gang rape) hukumu yake ni kifungo cha maisha.

Hapo zimefunguliwa kesi za msingi tu hiyo yako ya hukumu ya miaka 7 au faini haina uzito wowote kwenye shauri hilo, na hata ikiwepo adhabu yake itakayo hukumiwa ni adhabu 1 ya kosa kubwa ambalo ni gang rape huku ikiambatana na adhabu ya hayo makosa madogo kama watabainika kweli wana hatia.

Hilo lako la kusambaza tunategemea ukamatwe nalo wewe ambae unaendelea kusambaza.
 
makosa yapo ila tu wanaweza kupunguza adhabu sema swala la ubakaji hawawezi kuliepuka hichi ndio kitanzi kitakachowala!. ila kama kuna mtu hakuonekana kwenye kamera anaweza kuepuka!. ila najua watalambwa tu adhabu hawa ili kuwaridhisha watanzania maana kimenuka!.
Mkuu kuna point moja kubwa sana ipo kwenye comment yako
 
Habari ya jioni wakuu.
Kwa uelewa wangu mdogo wa sheria pamoja na makosa hasa ya jinai.

Sheria zinamifumo ya kumtendea mhalifu maana maaka kuthibitisha pasipo na shaka hapa ni pagumu sanaaa yan narudia tena hapa ni pagumu kuliko kawaida.

Upande mwingine ambapo mtuhumiwa anapata unafuu ni kwenye hatua zilizofuata hadi mtuhumiwa kukamatwa na kupelekwa mahakamani. Kama kuna taratibu haikufuatwa mtu anaweza chomoka mkimwona pia ikumbukwe baadhi ya kesi kufuata taratibu zote ni ngumu sana hasa hii mleta uzi anaizungumzia.

MADA TAJWA
.1. Kwenye kesi ni kweli kulikuwa na kipengele cha usambazaji ila kama hakikuwepo inawezekana waliona kinaweza kuwa ni mwiba kwao ndo maana hawakuifungua hiyo kesi.
Binafsi sitaki amin kuwa walisahau ilo kosa. Ila kama waliona kesi yake ni ngumu wakaona wafe na hizo kesi mbil nzito

2. Swala la wao kushinda kesi ni ngumu maana hiyo kesi inaangaliwa na wengi pia watatoa hukumu kulingana na penal code ili kutuliza wananchi na makundi mbali mbali na hata kama watakata rufaaa mbelen ila itakuwa washaipooza jamii.
 
Dogo tulia Hapo hamna kosa la kubaka kuna kosa la kubaka kwa kundi yaani Gang rape makosa hayo ni mawili tofauti na hukumu yake ni tofauti, kubaka ni miaka 30 na kubaka kwa kundi (gang rape) hukumu yake ni kifungo cha maisha.

Hapo zimefunguliwa kesi za msingi tu hiyo yako ya hukumu ya miaka 7 au faini haina uzito wowote kwenye shauri hilo, na hata ikiwepo adhabu yake itakayo hukumiwa ni adhabu 1 ya kosa kubwa ambalo ni gang rape huku ikiambatana na adhabu ya hayo makosa madogo kama watabainika kweli wana hatia.

Hilo lako la kusambaza tunategemea ukamatwe nalo wewe ambae unaendelea kusambaza.
Fact.
Umemjibu vizur sana mkuu
 
1. Kwenye kesi ni kweli kulikuwa na kipengele cha usambazaji ila kama hakikuwepo inawezekana waliona kinaweza kuwa ni mwiba kwao ndo maana hawakuifungua hiyo kesi.
Binafsi sitaki amin kuwa walisahau ilo kosa. Ila kama waliona kesi yake ni ngumu wakaona wafe na hizo kesi mbil nzito
Hapa ndo ukweli ulipo mkuu kushinda kesi ni Sanaa, upande wa jamuhuri mafanikio ni kumtia mtuhumiwa hatiani kwahiyo ni muhimu kuepuka kesi ndogo zisizo za msingi ambazo ushahidi wake ukishindikana kuthibitishwa bila shaka inaweza kuharibu kesi ya msingi.
Watu siyo wajinga hizo ni taaluma za watu.

Mfano utakuta mtu anaanzisha uzi kulaumu kwanini hawakupelekwa mahakamani siku ile ya kwanza walipokamatwa kisa eti ushahidi wa video upo, watu huwa wanadhani mambo ni rahisi rahisi tu, ushahidi wa video peke yake hautoshi na ukikurupuka wanaenda kukushindq lazima uwe na ushahidi mwingine wa kutosha hakuna kitu kinahitaji utulivu kama kukamilisha ushahidi, ndo maana watuhumiwa wengi wa mauaji waliuwa kweli ila huwa wanaachiwa huru.
 
Back
Top Bottom