Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Tovuti ipi?Hata kwenye Ile tovuti kipenzi Kwa wanachama WA chaputa ipo. Ila jaji atakwambia ushaidi aujitoshelezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tovuti ipi?Hata kwenye Ile tovuti kipenzi Kwa wanachama WA chaputa ipo. Ila jaji atakwambia ushaidi aujitoshelezi.
makosa yapo ila tu wanaweza kupunguza adhabu sema swala la ubakaji hawawezi kuliepuka hichi ndio kitanzi kitakachowala!. ila kama kuna mtu hakuonekana kwenye kamera anaweza kuepuka!. ila najua watalambwa tu adhabu hawa ili kuwaridhisha watanzania maana kimenuka!.
Katika ngono mavi yana maana gani? Japo mimi sijui sheria ila nnafahamu unaweza usie ila ukisema "nitakuua" tayari una hatiaKusema na kutenda ni vitu viwili tofauti,na mavi ina maana nyingi tu,
Wanachama WA chaputa wanaijuaTovuti ipi?
victim anaonekana akilalamika so halikuwa kubaliano na ile video akionyesha unyonyo alilazimishwa kuomba msamaha,hichi kinatosha kuwa alilazimishwa. victim anaweza kujitetea kwa kusema aliogopa kama angetoa ripoti angepatwa na baya zaidi kwani watu waliomfanyia hivyo unajua kazi yao!.Wakisema walikubaliana na victim,je victim alichukua hatuagani baada ta kubakwa
hatia zipo isipokuwa tu adhabu ambayo walitakiwa wapewe haitakuwa kali ila nachojua kwakuwa watz walishupalia hawa watatiwa ndani litapoa wataachiwa baadae huko.Ni ngumu sana kukutwa na hatia
Kubaka ni kosa la jinai, unashakiwa na JMT. Hivyo ikithibitika pasina shaka wamebaka ni jela.Wakisema walikubaliana na victim,je victim alichukua hatuagani baada ta kubakwa
Mkuu kuna point moja kubwa sana ipo kwenye comment yakomakosa yapo ila tu wanaweza kupunguza adhabu sema swala la ubakaji hawawezi kuliepuka hichi ndio kitanzi kitakachowala!. ila kama kuna mtu hakuonekana kwenye kamera anaweza kuepuka!. ila najua watalambwa tu adhabu hawa ili kuwaridhisha watanzania maana kimenuka!.
Fact.Dogo tulia Hapo hamna kosa la kubaka kuna kosa la kubaka kwa kundi yaani Gang rape makosa hayo ni mawili tofauti na hukumu yake ni tofauti, kubaka ni miaka 30 na kubaka kwa kundi (gang rape) hukumu yake ni kifungo cha maisha.
Hapo zimefunguliwa kesi za msingi tu hiyo yako ya hukumu ya miaka 7 au faini haina uzito wowote kwenye shauri hilo, na hata ikiwepo adhabu yake itakayo hukumiwa ni adhabu 1 ya kosa kubwa ambalo ni gang rape huku ikiambatana na adhabu ya hayo makosa madogo kama watabainika kweli wana hatia.
Hilo lako la kusambaza tunategemea ukamatwe nalo wewe ambae unaendelea kusambaza.
Kwahiyo mm ambae sijaiona siko duniani??Unanitega bosi niseme ndio uniunganishe kwenye chain ya wasambazaji wa maudhui yasiyofaa?VIdeo imesambaa dunia nzima hakuna mtu hajaiona
Unataka kusema jaiva nae huenda akaisaidia polisiHuo muda wa tukio kutokea may, hiyo may wimbo wa Jaiva ulikua umetoka kwani?? Kama ulikua bado basi sio tukio la may.
Hapa ndo ukweli ulipo mkuu kushinda kesi ni Sanaa, upande wa jamuhuri mafanikio ni kumtia mtuhumiwa hatiani kwahiyo ni muhimu kuepuka kesi ndogo zisizo za msingi ambazo ushahidi wake ukishindikana kuthibitishwa bila shaka inaweza kuharibu kesi ya msingi.1. Kwenye kesi ni kweli kulikuwa na kipengele cha usambazaji ila kama hakikuwepo inawezekana waliona kinaweza kuwa ni mwiba kwao ndo maana hawakuifungua hiyo kesi.
Binafsi sitaki amin kuwa walisahau ilo kosa. Ila kama waliona kesi yake ni ngumu wakaona wafe na hizo kesi mbil nzito