Kesi ya Dr. Slaa inaendelea Mahakamani bila yeye kuwepo

Kesi ya Dr. Slaa inaendelea Mahakamani bila yeye kuwepo

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Hii ni mpya kabisa, haijawahi tokea, inakuwaje kesi iendeshwe bila mtuhumiwa kuwepo? Only in my country!

---
Wakili Peter Madeleka anayemwakilisha Dk. Wilbord Slaa kwenye kesi Na.993 ya mwaka 2025 ya kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa X ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuuwajibisha upande wa Jamhuri kwa kutomfikisha mahakamani hapo mtuhumiwa (Dk. Slaa).

Madeleka amedai mahakamani hapo kuwa upande wa Jamhuri ndio uliowasilisha zuio la dhamana ya Dk. Slaa kwa madai ya usalama wake "ikiwa haonekani upo wapi uhakika wa usalama wake"
https://x.com/Mwanahalisitz/status/1878721492923371937/photo/1
Screenshot_20250113_114055_X.jpg
Soma: Dkt. Slaa afikishwa mahakamani Kisutu kwa Shtaka la kusambaza taarifa za Uongo
 
Huyu mzee udini unasumbua, badala ya kuletea vitukuu kinahangaika mitandaoni.
 
Cha ajabu ni nini hapo? Huyo mdude mwenyewe ameshakuwa na kesi kibao ambazo mwishowe huishia kuachiliwa na kuwa huru , namshangaa anaposhangaa hili kiwezekana kwa hapa bongo.
 
Back
Top Bottom