Kesi ya Dr. Slaa inaendelea Mahakamani bila yeye kuwepo

Atarudi tena,mpaka ajifunze kufumba domo mtu mzima
Tuichaie Mahakama kama haitaendeshwa na maagizo kutoka juu, lakini so far kuna dalili zunaonyesha hilo la kuziingilia Mahakama.
Kosa analotuhumiwa Dr. Slaa lina DHAMANA Slaa hajaua mtu.
 
Atarudi tena,mpaka ajifunze kufumba domo mtu mzima
hlf yote anafanya,kwa ajili ya wajinga km ww , ila mtu mweus kuna namn hamkuwekewa akili , picha linaanza mlizikataa hata dini pili mkawata viongoz wenu kisha leo mnaukata hata uhuru wenu
 
Huyo Babu ana kesi kibao!
Mtafuteni mahakama zingine mtamkuta huko
 
YAANI MDUDE KILA KITU NI RAIS YAANI UNAONESHA NI KIASI GANI HUNA AKILI NDIYO MAANA HATA CHADEMA HUWAGA HAWANA MPANGO NA WEWE ILA UNAJIPENDEKEZA TU YAANIHUJULIKANI UKO UPANDE GANI CHA AJABU HAPO NI NINI SASA
Sasa wewe mtu anaitwa Mdude unategemea awe na akili kweli.Jina linaumba jameni.
 
Mengine tunajizuia sana kuandika wallah but the truth is, "hi nchi ina wajinga wengi sana yaani, huwezi kuamini hadi wanaojua kutumia simu janja wapo wajinga pia"
Hivi jukumu la kumpeleka mahakamani mtuhumiwa ambaye amezuiwa kupewa dhamana hua ni la nani?
Kama mtuhumiwa aligoma kwenda mahakamani? Ama alitoa ruhusa ya uwakilishi je? Mahakamani hakuna wajinga wa kuendesha kesi tu ilimradi. Muwe mnaweka habari kamili, sio hujamuona tu slaa mahakamin basi inakuwa habari.
 
hlf yote anafanya,kwa ajili ya wajinga km ww , ila mtu mweus kuna namn hamkuwekewa akili , picha linaanza mlizikataa hata dini pili mkawata viongoz wenu kisha leo mnaukata hata uhuru wenu
Ananifanyia mimi nini wewe bumunda!?..kashindwa kuvumilia ngono akaacha upadre,akaenda kwenye siasa apate ugali wake, akaenda ccm kahongwa ubalozi,anachonifanyia mimi kitu gani!?..nahitaji nini!?
 
Tuichaie Mahakama kama haitaendeshwa na maagizo kutoka juu lakini so far kuna dalili zunaonyesha hilo la kuziingilia Mahakama.
Kosa analotuhumiwa Dr. Slaa lina DHAMANA Slaa hajaua mtu.
Yaani serikali kuu isiingilie mahakama!?..kwa hili la huyu waingilie kwelikweli, hatuwezi kuwa na taifa la wazee waongo
 
Mzee Slaa ana sources zake anazoziamini ndizo zilizompa taarifa na tuiachie Mahakama kusema Dr.Slaa kasema uongo na wewe kuja KUMHUKUMU humu JF sio uungwana.
 
Atazitaja hizo tomato sauce,au laa aendelee kunyea debe
 
Ananifanyia mimi nini wewe bumunda!?..kashindwa kuvumilia ngono akaacha upadre,akaenda kwenye siasa apate ugali wake, akaenda ccm kahongwa ubalozi,anachonifanyia mimi kitu gani!?..nahitaji nini!?
mkuu mbona unamchukia huyu mzee alikudinya bila malipo nini?
 
Mzee Slaa ana sources zake anazoziamini ndizo zilizompa taarifa na tuiachie Mahakama kusema Dr.Slaa kasema uongo na wewe kuja KUMHUKUMU humu JF sio uungwana.
jinga tu hilo mbona lenyewe alisemi ukweli uko wapi uwenda liligongwa bila kupewa kodi ya kitanda na huyo mzee kwahiyo lina chuki nae
 
hq720.jpg

Free Dr.Slaa
 
Back
Top Bottom