Kesi ya Dr. Slaa inaendelea Mahakamani bila yeye kuwepo

Hakimu ana akili kweli?
 
Huyu mzee udini unasumbua, badala ya kuletea vitukuu kinahangaika mitandaoni.
Wewe upumbavu wa udini ndio umekujaa, anejanatwa kwa sababu ya matamko yake ya kisiasa siyo ya kidini, mjinga wewe ushawahi kumtuhumu ndiye aliyetia mkataba wa kanisa na serikali na ukashindwa kuonyesha how.

Mjinga wa udini ni wewe
 
Watu wana dharau sana
 
Nafurahi anayopitia Dr slaa Kwa Sasa,
Utawala WA jiwe alikua na ngebe Sana
 
Wasije wakawa washamdhuru mahabusi kama walivyomfanyia Mdude
 
Nani kakwambia haijawahi kuwepo? Kuna mazingira Kesi inaweza kuendelea bila ya wewe kuwepo na ukahukumiwa na siku ukikamatwa ni moja kwa moja jela
 
kwaajili ya usalama wake huyo mzee msaliti, mzushi na mnafiki sana, inafaa abakizwe korokoroni hadi baada ya uchaguzi wa chadema, lakini pia baada ya pasaka itapendeza zaidi πŸ’
 
Wewe upumbavu wa udini ndio umekujaa, anejanatwa kwa sababu ya matamko yake ya kisiasa siyo ya kidini, mjinga wewe ushawahi kumtuhumu ndiye aliyetia mkataba wa kanisa na serikali na ukashindwa kuonyesha how.

Mjinga wa udini ni wewe
Mkataba hujaona? Mkapa kimya, kikwete kajifanya mpinza, Magufuli kawa balozi, Samia huyo mdomo mdomo, mdini huyu hilo halina ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…