Kesi ya Dr. Slaa inaendelea Mahakamani bila yeye kuwepo

Ungekuwa na uwezo bwa kiakili mzuri, usingeuliza swali la KIJINGA namna hiyo!!!
Watu wengine nmmejaza MBOJI na Samadi Upstairs πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸš΄πŸ€£πŸš΄πŸš΄πŸš΄
Kwa lugha nyepesi ni kuwa kichwa kimejaa Mavi au mimi ndio sijaelewa vizuri...? πŸ˜…
 
Mkataba hujaona? Mkapa kimya, kikwete kajifanya mpinza, Magufuli kawa balozi, Samia huyo mdomo mdomo, mdini huyu hilo halina ubishi
Wewe mpuuzi na ndiyo unasumbuliwa na Udini. Slaa na Mkapa walikuwa hawaelewani na Mkapa ndiyo alimfanya Slaa ahamie CDM kwa sababu aliengua ubunge Kiteto.

Kwani wewe unaona JK alifanya mambo mazuri? Hii nchi iligeuzwa Kiwanda cha madawa ya kulevya na waTanzania wakafungiwa Visa duniani kote, Hong Kong, Australia, Brazil. Hong kong wafungwa 400 na wengine kuuawa China. Yote hayo alisababisha JK.

Ubalozi wa Swden alipewa baada ya kujitoa CDM kwa sababu ya Mwamba kumleta Lowasa, akahamia Canada akawa muuza duka.

Sasa huyu Bi ushungi wenu atataka kuiba kura, na atasababisha vita, kwa kuwa hamna mtu atakayekubali kuibiwa kura, hii ukae ukijua.
 
Samia ni katili kuliko Magufuli
 
Huwezi kutetea udini wa huyu mzee. Baada ya kufanya toba uzee ushamuingia anadanyanya watu. Utawala uliopita alisifu kupindukia
 
Umri ule hauwezi kuhimili misukosuko suko, he may be sick
 
Ni EX-PARTE hiyo ni jambo la kawaida Sana kwenye Sheria sio jambo geni
 
Sasa kama hufiki mahakamani na hakuna taarifa unataka wafanye nini?
Mengine tunajizuia sana kuandika wallah but the truth is, "hi nchi ina wajinga wengi sana yaani, huwezi kuamini hadi wanaojua kutumia simu janja wapo wajinga pia"
Hivi jukumu la kumpeleka mahakamani mtuhumiwa ambaye amezuiwa kupewa dhamana hua ni la nani?
 
Maybe we want something else rather than world record
 
Kwa lugha nyepesi ni kuwa kichwa kimejaa Mavi au mimi ndio sijaelewa vizuri...? πŸ˜…
Naam, MAVI, mkuu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ, wamasai wanaita MAFII umepatia nilikuwa natumia tafsda, hongera kwa kuielewa code!!🀣🀣🀣🚴🚴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…