balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Kiba kafanya nini tena?Daah... kumbe Kibatala anajali hela tuu sio haki. Bongo muvi yetu imekuwa km mwathirika wa UKIMWI alokosa dawa za kupunguza makali kwa sababu ya Lulu. Kuanzia leo simuheshimu tena Kibatala
Hahahaha umenichekesha mkuu eti unakula evidence over nakuona vileKawaida hii mkuu.Nipo nakula Evidence hapa.
Kitendo chake cha kumtetea Lulu ndo kimenikeraKiba kafanya nini tena?
Mtuhumiwa ana haki zote kwa mujibu wa katiba yetu ibara ya 13 na hata ya 30.Jinai inataka kuprove beyond reasonable dought.Kibatala anafanya kazi yake vizuri sana.Ni bora kuaxhia huru wahalifu mia kuliko kumuhukumu asiye na hatia.Wapeleke kila element ya kaushahidi ili haki itendeke.Anasimamia haki ya mtuhumiwa.
Hata kama akikutwa na hatia lakini haki zake za msingi na kila mtuhumiwa ana haki ya kutetewa.
Watu mna mahaba hadi yanafunika reasoning.
Yani hiki mnacholalamika hapa hakina tofauti na viongozi wa serikali kusema mawakili wawekwe ndani kisa wameenda polisi kutetea wale inaowatuhumu na kuamini ni waharifu wakiwemo wanasiasa waliokamatwa.
[emoji15] Haki ya muuwaji!Anasimamia haki ya mtuhumiwa.
Hata kama akikutwa na hatia lakini haki zake za msingi na kila mtuhumiwa ana haki ya kutetewa.
Watu mna mahaba hadi yanafunika reasoning.
Yani hiki mnacholalamika hapa hakina tofauti na viongozi wa serikali kusema mawakili wawekwe ndani kisa wameenda polisi kutetea wale inaowatuhumu na kuamini ni waharifu wakiwemo wanasiasa waliokamatwa.
Usikereke mkuu,hukumu hutoka pale ambapo facts na facts zinapo consist,kumbuka hukumu itakayotoka hapo haishii tu kwa kesi hii,itatumika kuhukumu wengine watakaojikuta katika kesi zenye mtanziko kama huu.Upande wa mashtaka nao ufanye kazi ili kuthibitisha liability ya Lulu.Hivyo ndivyo haki inavyoonekana ikitendeka.Hata hukumu ikitoka bado kuna fursa ya kukata rufaa,na hata mahakama yaweza amua kureview hukumu hata kama hakuna anayedai hivyo.Kitendo chake cha kumtetea Lulu ndo kimenikera
Mahakama ndiyo itaamua hilo baada ya ushahidi kupitiwa.[emoji15] Haki ya muuwaji!
Hii ishu ya Kibatala naifananisha na Daktari anayekubali toa mimba kwa sababu ya hela na sio sababu za kitabibuMahakama ndiyo itaamua hilo baada ya ushahidi kupitiwa.
Punguza mahaba yasitawale reasoning.
Hajatiwa hatiani bado,kuna dhana ya regular law.Kuna muuaji halali mfano anayenyonga waliohukumiwa kunyonga ,huyu hawajibishwi kokote,kuna kuua bila kukusudia au kuua kimakosa yaani unalinda shamba usiku ili kuzuia nguruwe,inaona kivuli kwenye mihogo mara ,unaita husikii sauti ya binadamu unapiga risasi,mara paah,umeua mtu,je uchukuliwe kama muuji aliyekusudia? Muuaji aliyekusudia naye ana haki ya kusikilizwa.Mama yake Taji Liundi alihukumiwa kunyongwa kwa kuwauwa watoto wake kwa sumu lakini Nyerere alimsamehe,amekufa kifo cha kawaida mwaka huu ,january.[emoji15] Haki ya muuwaji!
Hakika nikiwa na gari yangu nikapewa tenda ya kusafirisha mirungi sikubali!Usikereke mkuu,hukumu hutoka pale ambapo facts na facts zinapo consist,kumbuka hukumu itakayotoka hapo haishii tu kwa kesi hii,itatumika kuhukumu wengine watakaojikuta katika kesi zenye mtanziko kama huu.Upande wa mashtaka nao ufanye kazi ili kuthibitisha liability ya Lulu.Hivyo ndivyo haki inavyoonekana ikitendeka.Hata hukumu ikitoka bado kuna fursa ya kukata rufaa,na hata mahakama yaweza amua kureview hukumu hata kama hakuna anayedai hivyo.
Bush lawyer in a kangaroo court katika ubora wakoHii ishu ya Kibatala naifananisha na Daktari anayekubali toa mimba kwa sababu ya hela na sio sababu za kitabibu
Mkuu how? Mbona naona kama yuko kazini kama kawaida sijaona alichofanya cha zaidi kufikia kwa kauli yakoDaah... kumbe Kibatala anajali hela tuu sio haki. Bongo muvi yetu imekuwa km mwathirika wa UKIMWI alokosa dawa za kupunguza makali kwa sababu ya Lulu. Kuanzia leo simuheshimu tena Kibatala
Mirungi ni haramu,ni kosa kisheria,kumtetea Lulu au mtuhumiwa ni haki,ni halali na mahakama haiwezi kuhukumu tuuu.Hata kama Lulu angeenda akakiri kumuua Kanumba bado hatua zote hizi zingefuatwa,angepewa wakili,angepewa dhamana na mashahidi wangeitwa na kila kitu.Ni haki na ni halali.Ukisafirisha mirungi umevunja sheria .Hakika nikiwa na gari yangu nikapewa tenda ya kusafirisha mirungi sikubali!
Kumbe hujaona! Basi sawaMkuu how? Mbona naona kama yuko kazini kama kawaida sijaona alichofanya cha zaidi kufikia kwa kauli yako
Daah... basi sawa!Bush lawyer in a kangaroo court katika ubora wako
Yani hii haina tofauti na fikra za baadhi ya viongozi wa serikali waliotoa kauli ya kwamba mawakili wakienda polisi kufuatilia kesi za watuhumiwa wakamatwe na wawekwe ndani.Hii ishu ya Kibatala naifananisha na Daktari anayekubali toa mimba kwa sababu ya hela na sio sababu za kitabibu
Okay mzee.....unaelezea kwa busara na ufasaha kabisa. Ubarikiwe!Mirungi ni haramu,ni kosa kisheria,kumtetea Lulu au mtuhumiwa ni haki,ni halali na mahakama haiwezi kuhukumu tuuu.Hata kama Lulu angeenda akakiri kumuua Kanumba bado hatua zote hizi zingefuatwa,angepewa wakili,angepewa dhamana na mashahidi wangeitwa na kila kitu.Ni haki na ni halali.Ukisafirisha mirungi umevunja sheria .