Kesi ya Elizabeth Michael (Lulu), Mke wa Dk. Slaa ahitajika kufika mahakamani kutoa ushahidi

Kesi ya Elizabeth Michael (Lulu), Mke wa Dk. Slaa ahitajika kufika mahakamani kutoa ushahidi

Daah... kumbe Kibatala anajali hela tuu sio haki. Bongo muvi yetu imekuwa km mwathirika wa UKIMWI alokosa dawa za kupunguza makali kwa sababu ya Lulu. Kuanzia leo simuheshimu tena Kibatala
Kiba kafanya nini tena?
 
Anasimamia haki ya mtuhumiwa.
Hata kama akikutwa na hatia lakini haki zake za msingi na kila mtuhumiwa ana haki ya kutetewa.
Watu mna mahaba hadi yanafunika reasoning.
Yani hiki mnacholalamika hapa hakina tofauti na viongozi wa serikali kusema mawakili wawekwe ndani kisa wameenda polisi kutetea wale inaowatuhumu na kuamini ni waharifu wakiwemo wanasiasa waliokamatwa.
Mtuhumiwa ana haki zote kwa mujibu wa katiba yetu ibara ya 13 na hata ya 30.Jinai inataka kuprove beyond reasonable dought.Kibatala anafanya kazi yake vizuri sana.Ni bora kuaxhia huru wahalifu mia kuliko kumuhukumu asiye na hatia.Wapeleke kila element ya kaushahidi ili haki itendeke.
 
Hapa nachokiona majaji wanataka wakili wa mshitakiwa ashindwe kwa nguvu zote. kesi hapa ni kati ya wakili na majaji....yangu macho...ila sidhani kama wakili atachomoka hapa na ndio maana kesi ipo mpera mpera.
 
Anasimamia haki ya mtuhumiwa.
Hata kama akikutwa na hatia lakini haki zake za msingi na kila mtuhumiwa ana haki ya kutetewa.
Watu mna mahaba hadi yanafunika reasoning.
Yani hiki mnacholalamika hapa hakina tofauti na viongozi wa serikali kusema mawakili wawekwe ndani kisa wameenda polisi kutetea wale inaowatuhumu na kuamini ni waharifu wakiwemo wanasiasa waliokamatwa.
[emoji15] Haki ya muuwaji!
 
Kitendo chake cha kumtetea Lulu ndo kimenikera
Usikereke mkuu,hukumu hutoka pale ambapo facts na facts zinapo consist,kumbuka hukumu itakayotoka hapo haishii tu kwa kesi hii,itatumika kuhukumu wengine watakaojikuta katika kesi zenye mtanziko kama huu.Upande wa mashtaka nao ufanye kazi ili kuthibitisha liability ya Lulu.Hivyo ndivyo haki inavyoonekana ikitendeka.Hata hukumu ikitoka bado kuna fursa ya kukata rufaa,na hata mahakama yaweza amua kureview hukumu hata kama hakuna anayedai hivyo.
 
Ushahidi uliotolewa na Jamhuri ni dhaifu mno hauwezi kumtia Lulu hatiani na circumstantial evidence haitiliwi maanani sana na mahakama as long as hakuna mtu akiyeshuhudia akiua na yeye mwenyewe amekana.

Mind you kesi za jinai zinahitaji kuthibitisha pasi na shaka lolote kwa hapa tuna mashaka kibao maana ushahidi ni zaifu na wa kudhania
 
[emoji15] Haki ya muuwaji!
Hajatiwa hatiani bado,kuna dhana ya regular law.Kuna muuaji halali mfano anayenyonga waliohukumiwa kunyonga ,huyu hawajibishwi kokote,kuna kuua bila kukusudia au kuua kimakosa yaani unalinda shamba usiku ili kuzuia nguruwe,inaona kivuli kwenye mihogo mara ,unaita husikii sauti ya binadamu unapiga risasi,mara paah,umeua mtu,je uchukuliwe kama muuji aliyekusudia? Muuaji aliyekusudia naye ana haki ya kusikilizwa.Mama yake Taji Liundi alihukumiwa kunyongwa kwa kuwauwa watoto wake kwa sumu lakini Nyerere alimsamehe,amekufa kifo cha kawaida mwaka huu ,january.
 
Usikereke mkuu,hukumu hutoka pale ambapo facts na facts zinapo consist,kumbuka hukumu itakayotoka hapo haishii tu kwa kesi hii,itatumika kuhukumu wengine watakaojikuta katika kesi zenye mtanziko kama huu.Upande wa mashtaka nao ufanye kazi ili kuthibitisha liability ya Lulu.Hivyo ndivyo haki inavyoonekana ikitendeka.Hata hukumu ikitoka bado kuna fursa ya kukata rufaa,na hata mahakama yaweza amua kureview hukumu hata kama hakuna anayedai hivyo.
Hakika nikiwa na gari yangu nikapewa tenda ya kusafirisha mirungi sikubali!
 
Daah... kumbe Kibatala anajali hela tuu sio haki. Bongo muvi yetu imekuwa km mwathirika wa UKIMWI alokosa dawa za kupunguza makali kwa sababu ya Lulu. Kuanzia leo simuheshimu tena Kibatala
Mkuu how? Mbona naona kama yuko kazini kama kawaida sijaona alichofanya cha zaidi kufikia kwa kauli yako
 
Hakika nikiwa na gari yangu nikapewa tenda ya kusafirisha mirungi sikubali!
Mirungi ni haramu,ni kosa kisheria,kumtetea Lulu au mtuhumiwa ni haki,ni halali na mahakama haiwezi kuhukumu tuuu.Hata kama Lulu angeenda akakiri kumuua Kanumba bado hatua zote hizi zingefuatwa,angepewa wakili,angepewa dhamana na mashahidi wangeitwa na kila kitu.Ni haki na ni halali.Ukisafirisha mirungi umevunja sheria .
 
Hii ishu ya Kibatala naifananisha na Daktari anayekubali toa mimba kwa sababu ya hela na sio sababu za kitabibu
Yani hii haina tofauti na fikra za baadhi ya viongozi wa serikali waliotoa kauli ya kwamba mawakili wakienda polisi kufuatilia kesi za watuhumiwa wakamatwe na wawekwe ndani.
Mkuu leo hii unaweza pita sehemu ukakamatwa kuwa wewe umehusika na ujambazi kisa umekamatwa na gari ambalo limehusika katika tukio.
Watu wote wakaamini wewe ni jambazi, sasa bila wakoli na ushahidi kuletwa mahakamani si unafungwa tu maana jamii nzima itakuwa inaamibi wewe kweli jambazi.
 
Mirungi ni haramu,ni kosa kisheria,kumtetea Lulu au mtuhumiwa ni haki,ni halali na mahakama haiwezi kuhukumu tuuu.Hata kama Lulu angeenda akakiri kumuua Kanumba bado hatua zote hizi zingefuatwa,angepewa wakili,angepewa dhamana na mashahidi wangeitwa na kila kitu.Ni haki na ni halali.Ukisafirisha mirungi umevunja sheria .
Okay mzee.....unaelezea kwa busara na ufasaha kabisa. Ubarikiwe!
 
Back
Top Bottom