Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Nadhan ni mamdogo yake majina ya mama zao yanafanana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasumbuana tuu ili kupunguza ukali wa adhabu.Then kama hujaujua kwanini umesema wanasumbuana kama vile unajua ni kitu gani kilichopo kwenye ushahidi
usipofuatilia mambo mengi yanayohusu nchi yako..utashindwa kuelewa mengi tu yanayotukia.Nimezoea kuona kesi za watu maarufu kupigwa kalenda mara kwa mara, pengine husikilizwa siku moja tu kisha kupigwa kalenda.... Lakini hii ya lulu karibu wiki Sasa inasikilizwa
Mhh!i cant belive my nose!!
Ni Josephine MshumbuziDk Slaa hana mke ila ana Mchumba
hahahhha, sasa pua yako inakupa hisia zipi kuhusu hii kesi, hahahahahha Wonderful bwana!!!! tehe teheMhh!i cant belive my nose!!
Mke wa Padre Slaa anaitwa Josephine na siyo Jacquline, hawa ni watu wawili tofauti.![]()
Kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili muigizaji wa filamu bongo Elizabeth Michael, (Lulu) imeendelea leo katika mahakama kuujijini Dar es salaam, ambapo upande wa utetezi umeshindwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwa kukosekana shahidi mwingine .
Shahidi huyo aliyetajwa kuwa ni mke wa aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa, Bi. Jacqueline Mushumbusi ambaye yuko nje ya nchi, ushahidi wake umekataliwa kupokelewa na mahakama mpaka awepo mwenyewe au askari ambaye aliandika maelezo yake afike mahakamani kutoa ushahidi huo.
Hapo jana wakili wa mshtakiwa Peter Kibatala aliiomba mahakama iruhusukupokelewa kwa ushahidi utakaotumwa na Bi. Mushumbusi, lakini mahakama imekataa ombi hilo ikisema upande wa utetezi hauwezi kusoma ushahidi huo na kutoa uamuzi wake wa kutaka shahidi awepo mwenyewe au askari aliyeandika ushahidi huo.
Kesi hiyo imeghailishwa mpaka kesho Oktoba 25, ambapo inatarajiwa askari aliyeandika ushahidi wa Bi. Jacquline Mushumbusi, kuwasili mahakamani hapo na kutoa ushahidi wake.
MKE WA DR.SILAA AITAJIKA KUTOA USHAIDI KESI INAYOMKABILI LULU.
Si lazima kila kitu uwelewe, wakati anaandika statement yake yeye ndio anajuwa connection yake ilikuwaje.Sijaelewa connection ya Mushumbushi hapo ni nn ? .
Tatizo la Tz hatuamini vyombo vyetu vya haki halafu kila mmoja ni master wa kila kitu.Wanasumbuana tuu ili kupunguza ukali wa adhabu.
Ile pesa waliohongwa na ccm ilishakwisha, pia inadepend je makaratasi anayo? Au kaoza?Aisee, Kamanda Mshumbusi huenda akarejea nchini siyo? Karibu sana Mama
Hii inaitwa 'knock out'!Mke wa Padre Slaa anaitwa Josephine na siyo Jacquline, hawa ni watu wawili tofauti.
Daah... kumbe Kibatala anajali hela tuu sio haki. Bongo muvi yetu imekuwa km mwathirika wa UKIMWI alokosa dawa za kupunguza makali kwa sababu ya Lulu. Kuanzia leo simuheshimu tena KibatalaKesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili muigizaji wa filamu bongo Elizabeth Michael, (Lulu) imeendelea leo katika mahakama kuu jijini Dar es salaam, ambapo upande wa utetezi umeshindwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwa kukosekana shahidi mwingine ambaye ni mke wa Dr. Slaa
![]()
Shahidi huyo aliyetajwa kuwa ni mke wa aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa, Bi. Jacqueline Mushumbusi ambaye yuko nje ya nchi, ushahidi wake umekataliwa kupokelewa na mahakama mpaka awepo mwenyewe au askari ambaye aliandika maelezo yake afike mahakamani kutoa ushahidi huo.
Hapo jana wakili wa mshtakiwa Peter Kibatala aliiomba mahakama iruhusu kupokelewa kwa ushahidi utakaotumwa na Bi. Mushumbusi, lakini mahakama imekataa ombi hilo ikisema upande wa utetezi hauwezi kusoma ushahidi huo na kutoa uamuzi wake wa kutaka shahidi awepo mwenyewe au askari aliyeandika ushahidi huo.
Kesi hiyo imeghailishwa mpaka kesho Oktoba 25, ambapo inatarajiwa askari aliyeandika ushahidi wa Bi. Jacquline Mushumbusi, kuwasili mahakamani hapo na kutoa ushahidi wake.
EATV
Anasimamia haki ya mtuhumiwa.Daah... kumbe Kibatala anajali hela tuu sio haki. Bongo muvi yetu imekuwa km mwathirika wa UKIMWI alokosa dawa za kupunguza makali kwa sababu ya Lulu. Kuanzia leo simuheshimu tena Kibatala
Kawaida hii mkuu.Nipo nakula Evidence hapa.Tatizo la Tz hatuamini vyombo vyetu vya haki halafu kila mmoja ni master wa kila kitu.
Kila mmoja ni mchumi, mtaalamu wa sheria, mpelelezi, polisi n.k.