Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo tena kwa sasa amekuwa sio mwenzao. Atamwaga mboga kwa kuwa upande wa ChademaNataka Ndugai aitwe mahakamani
Well Noted MkuuHuyo tena kwa sasa amekuwa sio mwenzao. Atamwaga mboga kwa kuwa upande wa Chadema
Uko sahihi nasikia Mbowe ndiye aliandika removal order ya Nusrat akatolewa mahabusu usiku. 😁😁😁Hapa ndipo patamu maana njama zooote za mbowe na mnyika zinaenda kuwa wazi na dunia inaenda kujuwa kuwa chadema ni wahuni kiasi gani ndiyo muelewe tunapowaambiaga kuwa mbowe ni mhuni muwe mnaelewa
Ingekuwa kuna nyaraka imeghushiwa si wangeshitakiwa zamani sana😁
Safari hii mahakama itailazimisha Tume kuileta hiyo orodha, watajua hawajui.Chadema waliomba tume ya uchaguzi nakala ya orodha iliyowasilishwa bungeni ili kumjua aliyesaini. Tume ikakataa 🤣🤣🤣🤣
Hebu tusaidie mkuu Mbowe alimtoaje Nusrat gerezani usiku kwenda kuapishwa Dodoma??Ingekuwa kuna nyaraka imeghushiwa si wangeshitakiwa zamani sana😁
Hii kesi itafutwa haraka sana na wabunge hawa kufukuzwa ili kuponya majizi yaliyokubuhu yasijulikane mark my words---------Gazeti la Raia Mwema limeandika kuwa kesi iliyofunguliwa na kina Mdee na wenzake 18 itafungua boksi ambalo limeficha siri kubwa la ‘vigogo’ waliohusika na sakata zima la wabunge 19 wa viti maalumu waliokuwa wanachama wa Chadema.
Gazeti hilo linasema mchakato mzima unaihusisha Ikulu, vigogo kutoka Tume ya Uchaguzi akiwemo Mkurugenzi wa NEC Mahera, vigogo kutoka Bunge akiwemo Spika na katibu wa bunge, vigogo kutoka ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa.
Kwa upande wa Chadema wao wanasema wamefurahi kesi hii kufunguliwa kwa sababu wanazo nyaraka za kutosha watakazoziwasilisha mahakamani na kwa umma ambazo zitaishangaza dunia, wanaujua mchezo wote nani alihusika nani aliandaa hayo majina 19, nani aliandika removal order ya Nusrat na nani yuko nyuma yao kwa sasa. Kikosi cha mawakili wa chama kiko tayari kitawaanika wote waliohusika kwa vile wao kama chama hawana cha kupoteza.
Kwa habari zaidi soma gazeti la leo la Raia Mwema.
View attachment 2228860
Kwa upande wa Chadema wao wanasema wamefurahi kesi hii kufunguliwa kwa sababu wanazo nyaraka za kutosha watakazoziwasilisha mahakamani na kwa umma ambazo zitaishangaza dunia, wanaujua mchezo wote nani alihusika nani aliandaa hayo majina 19, nani aliandika removal order ya Nusrat na nani yuko nyuma yao kwa sasa. Kikosi cha mawakili wa chama kiko tayari kitawaanika wote waliohusika kwa vile wao kama chama hawana cha kupoteza.Gazeti la Raia Mwema limeandika kuwa kesi iliyofunguliwa na kina Mdee na wenzake 18 itafungua boksi ambalo limeficha siri kubwa la ‘vigogo’ waliohusika na sakata zima la wabunge 19 wa viti maalumu waliokuwa wanachama wa Chadema.
Gazeti hilo linasema mchakato mzima unaihusisha Ikulu, vigogo kutoka Tume ya Uchaguzi akiwemo Mkurugenzi wa NEC Mahera, vigogo kutoka Bunge akiwemo Spika na katibu wa bunge, vigogo kutoka ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa.
Kwa upande wa Chadema wao wanasema wamefurahi kesi hii kufunguliwa kwa sababu wanazo nyaraka za kutosha watakazoziwasilisha mahakamani na kwa umma ambazo zitaishangaza dunia, wanaujua mchezo wote nani alihusika nani aliandaa hayo majina 19, nani aliandika removal order ya Nusrat na nani yuko nyuma yao kwa sasa. Kikosi cha mawakili wa chama kiko tayari kitawaanika wote waliohusika kwa vile wao kama chama hawana cha kupoteza.
Kwa habari zaidi soma gazeti la leo la Raia Mwema.
View attachment 2228860
Ngoja tusubiri tuone hiyo akili kubwaCHADEMA akili KUBWA siku zote...huwa nawashangaa watu wanaoibeza ...UJASUSI Katika chama kwa maslahi ya TAIFA..
Kizimbani ama Kufuta kesi na kurudi kwenye misingi ya KATIBA
Kwa akili walizonazo watasubiri hadi waumbuke kwanza, majuto mjukuu.Hii kesi itafutwa haraka sana na wabunge hawa kufukuzwa ili kuponya majizi yaliyokubuhu yasijulikane mark my words---------
Muda ulikuwa haujafika uzuri wao wenyewe ndio wameanzisha masuala ya mahakamani watatueleza Watanzania Mchakato mzima mpaka yule Aliyekuwa MAHABUSUIngekuwa kuna nyaraka imeghushiwa si wangeshitakiwa zamani sana[emoji16]
One step at a time, sawa hawakushitakiwa zamani lakini sasa tuelekeze macho na masikio kwenye proceedings za kesi.Ingekuwa kuna nyaraka imeghushiwa si wangeshitakiwa zamani sana[emoji16]
Ila ni ukweli usio shaka kuwa kwa sasa kuna kuwindana ndani kwa ndani, usijekuta kuna watu wametegesheana hili na hawa wakaingia king kwa kuweka huu mjadala mbele ya macho ya sheria.Kosa kubwa katika kudhibiti uhalifu ni kutuhumu kundi badala ya watenda kosa.
CCM nzima haiwezi kutenda uhalifu.
Asilimia kubwa ya wanachama wa CCM ni raia wema na wazalendo, ila yawezekana kuna wahalifu hutumia kama kichaka cha kujificha.
Huwezi kushitaki wakati jambo halijafika mahali pake.Hizo nyaraka zilizoghushiwa wanazo basi? Kwa jinsi ambavyo wanapenda kutrend wangekuwa wameshashitaki zamani sana.
Hata mimi nimewaza hivyo inawezekana kuna mtu anatafutwa wamwangushie jumba bovu, kama sio Ndugai sina uhakika, kingine ninachowaza ni kuwa inawezekana mama anataka ajikoshe na sakata hii.Ila ni ukweli usio shaka kuwa kwa sasa kuna kuwindana ndani kwa ndani, usijekuta kuna watu wametegesheana hili na hawa wakaingia king kwa kuweka huu mjadala mbele ya macho ya sheria.
Sisi wananchi tunashauriwa kutowaamini wanasiasa lakini pia wanasiasa wenyewe kwa wenyewe sidhani kama wanaaminiana. Ngoja inyeshe, lililo wazi ni kuwa huingizwaji wa hawa wabunge kuna jinai kubwa ilifanyika ambayo ni lazima iwekwe wazi hata baada ya miaka 100 ili nchi iende sawa
Hao covid-19 kupelekwa bungeni ilikuwa order ya Magufuli baada ya kuona kualibu uchavuzi bila kutumia akili. Kupeleka kesi kwenye mahakama za magufuli ni kjpoteza muda na hao covid-19 wapo hapo kwa manufaa ya serikali na ndio mahana kuna sitofahamu nyingi sana. Na jaribu kuwa na akili ya ku reasonable things. PUMBAFUIngekuwa kuna nyaraka imeghushiwa si wangeshitakiwa zamani sana😁