Kesi ya Halima Mdee na wenzake, vigogo waliogushi nyaraka wote kuanikwa

Kesi ya Halima Mdee na wenzake, vigogo waliogushi nyaraka wote kuanikwa

Hatari sana .....CHADEMA shikamoo
Kwa niaba ya viongozi nitaifikisha heshima yako.

CHADEMA tupo, tulikuepo na tutendelea kuwepo.
Tutakilinda chama chetu kwa wivu mkubwa mno.

Mdee na wahasi wenzie ni mali ya CCM, tunakataa kulishwa HARAMU.✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽
 
Pamoja KAMANDA!!!!!
 
Pia ni jambo jema Kwani hakuna mtu aliye mahabusu anaumia zaidi ya Kodi zetu kutafunwa na hao Covid 19, ni Bora kesi iendeshwe ukweli ujulikane kama chadema walikuwa na nguvu ya kumchagua mahabusu hadi release order ikatolewa! Aachiwe na Kwenda kuhapa garage
 
Fomu bado anayo katibu na hajajazwa majina ili irudishwe tume, fomu ya Covid-19 sijui waliipata wapi! Nani alisaini, msajili wa tume ya uchaguzi aliipokeaje na kuifanyia kazi, licha ya taarifa kuwa chadema haiusiki na kupatikana Covid-19.
 
Aiseeeh..
 
nakukumbusha …mwenye Mamlaka ya kuithibitishia Mahakama kuwa Sahihi iliyopo kwny hiyo barua kuwa ni ya John Mnyika au laa sio Mnyika mwenyewe wala Chadema
Safari hii mahakama itailazimisha Tume kuileta hiyo orodha, watajua hawajui.
 
Ingekuwa kuna nyaraka imeghushiwa si wangeshitakiwa zamani sana😁
nani awashtaki kama wao ndio kila kitu kwa maana ya mahakama, polisi, DPP, AG na serikali yenyewe. Wao wenyewe wameamua kujivua nguo maana joto limepamba moto sana... liwalo na liwe, isidingo the need njoo haraka sana... tumemiss update za mahakama kwa kweli...
 
mnapoteza muda bule,hiyo kitu hamta iweza ,mwenyekt wenu anajua kwa inshu ya wabunge 19,hamtoboi hata mfanyeje.muda mnaoupoteza mahakamani ni bola mngeutumia kujenga chama chenu. Tatzo cdm wanafanya harakati ,badala ya siasa. Na nchi ni siasa na sio harakati!!!
 
Gazeti la Raia Mwema limeandika kuwa kesi iliyofunguliwa na kina Mdee na wenzake 18 itafungua boksi ambalo limeficha siri kubwa la ‘vigogo’ waliohusika na sakata zima la wabunge 19 wa viti maalumu waliokuwa wanachama wa Chadema.

Gazeti hilo linasema mchakato mzima unaihusisha Ikulu, vigogo kutoka Tume ya Uchaguzi akiwemo Mkurugenzi wa NEC Mahera, vigogo kutoka Bunge akiwemo Spika na katibu wa bunge, vigogo kutoka ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa.

Kwa upande wa Chadema wao wanasema wamefurahi kesi hii kufunguliwa kwa sababu wanazo nyaraka za kutosha watakazoziwasilisha mahakamani na kwa umma ambazo zitaishangaza dunia, wanaujua mchezo wote nani alihusika nani aliandaa hayo majina 19, nani aliandika removal order ya Nusrat na nani yuko nyuma yao kwa sasa. Kikosi cha mawakili wa chama kiko tayari kitawaanika wote waliohusika kwa vile wao kama chama hawana cha kupoteza.

Kwa habari zaidi soma gazeti la leo la Raia Mwema.

View attachment 2228860
Kesi itachukuwa muda sanahii maana inaonekana ningumu sana.
 
Back
Top Bottom