Kesi ya Halima Mdee na wenzake, vigogo waliogushi nyaraka wote kuanikwa

CHADEMA akili KUBWA siku zote...huwa nawashangaa watu wanaoibeza ...UJASUSI Katika chama kwa maslahi ya TAIFA..

Kizimbani ama Kufuta kesi na kurudi kwenye misingi ya KATIBA
Mtabaki kujisifu hivyo hivyo hadi mtanyanganywa hadhi ya chama kikuu Cha upinzani.Wapi Umoja Party wahi haraka
 
Ndicho nilichokuwa nakitaka, hata kama huyo Mwenyekiti wenu Mboye amehusika haukumiwe kwa mujibu wa Sheria.
 
nakukumbusha …mwenye Mamlaka ya kuithibitishia Mahakama kuwa Sahihi iliyopo kwny hiyo barua kuwa ni ya John Mnyika au laa sio Mnyika mwenyewe wala Chadema
"Fomu za kudhaminiwa kwa hawa wabunge 19, zilitoka wapi na zilikuwa za chama gani? Maana fomu halisi (original) za kudhaminiwa za CHADEMA hadi leo zipo ofisini.” - Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara
 
Chadema waliomba tume ya uchaguzi nakala ya orodha iliyowasilishwa bungeni ili kumjua aliyesaini. Tume ikakataa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Safari hii kupitia mawakili wa CDM, kwa amri ya mahakama, hiyo nakala itatolewa.
 
Mbona mashitaka mengine huwa yanapelekwa na mawakili wa CHADEMA? KWANINI hili mnaloita kuwa Halima amefoji hamjawahi kwenda hata kulalamika kituo cha polisi wala kukusudia kushitaki?
Usiwe na haraka, majibu utayapata.
 
Tusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…