PostGE2025 Kesi ya Lissu: Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho, kilichosababisha Kesi kuahirishwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone

Fuatilia mwenendo wa kesi hapa >

Mahakama iliridhia kizimba maalumu cha kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia hakikidhi vigezo vya kisheria hivyo kifanyiwe marekebisho ili kuendana na matakwa ya kisheria .

1770877748785.png
 
Wakuu

Hiki ndicho Kizimba cha mashaidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone

Mahakama iliridhia kizimba maalumu cha kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia hakikidhi vigezo vya kisheria hivyo kifanyiwe marekebisho ili kuendana na matakwa ya kisheria .

muhaini hatoboi ndungu zango :NoGodNo:
 
Wakuu

Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone

Mahakama iliridhia kizimba maalumu cha kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia hakikidhi vigezo vya kisheria hivyo kifanyiwe marekebisho ili kuendana na matakwa ya kisheria .

Masikini weee, Mbowe amekubali kugeuzwa njiwa na hawa wahuni, inasikitisha sana.
 
Wakuu

Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone

Mahakama iliridhia kizimba maalumu cha kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia hakikidhi vigezo vya kisheria hivyo kifanyiwe marekebisho ili kuendana na matakwa ya kisheria .

Katika Jina la Yesu,ninanyunyiza damu ya Yesu mara 7 ndani ya kizimba hiki. Endapo atasimama shahidi wa uongo ndani yake Kwa lengo la kudhulumu haki ya mtumishi wa Mungu Tundu Lissu. Ardhi ifunguke kinywa immeze. Zaburi 109. Yaliyotajwa ktk Zaburi hii na yawe juu yake kwa Jina la Yesu. Amen✝️
 
Duh hiyo workmanship wandugu! Dah bongo bahati mbaya aisee, ukiuliza bei gani imetumika utashangaa inatosha kujenga bedroom 3 uswazi😛😛

Hiyo takataka kweli imewekwa ndani ya jengo la mahakama kuu ya nchi? Shitholeni

Tangu kesi ilipoahirishwa mkandarasi alikua anapambana kujenga na kaleta hiki kituko, so maagizo ya marekebisho ya jana yanaendelea na mchakato bado fungu linaandikiwa dokezo

Lissu anawaweka uchi sana hawa makatili aisee

Kwa hisani ya fundi maiko
 
Bora useme wewe maana akisema Trump watasema ni mbaguzi wa rangi, yaani ni upuuzi mtupu.
Kabisa Chief. Ujue kwa binadamu aliyekamilika hawezi kufanya hiyo hila dhidi ya Tundu Lisssu. Sasa unashangaa Rais na Mjaji wanashiriki hiyo hujuma ya wazi wazi bila aibu.

Ukiachana hata na hiyo nia ovu iliyo nyuma ya kibanda hicho, angalia ubora wa hiyo takataka; je ni halali hicho kibanda cha chips sijui m-pesa kuwekewa kwenye Mahakama yenye furnitures nzuri hivyo, na inayohudhuriwa na dignitaries? Nyani ni Nyani tu hata avae suti. Aibu naona mimi. 🫣
 
Wakuu

Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone

Mahakama iliridhia kizimba maalumu cha kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia hakikidhi vigezo vya kisheria hivyo kifanyiwe marekebisho ili kuendana na matakwa ya kisheria .

UHUNI at its BEST ......!!

Yericko itabidi avyalishwe LIZONI na afunikwe mashuka wakati anaingizwa humo ili kuficha kimo chake.
 
Kabisa Chief. Ujue kwa binadamu aliyekamilika hawezi kufanya hiyo hila dhidi ya Tundu Lisssu. Sasa unashangaa Rais na Mjaji wanashiriki hiyo hujuma ya wazi wazi bila aibu.

Ukiachana hata na hiyo nia ovu iliyo nyuma ya kibanda hicho, angalia ubora wa hiyo takataka; je ni halali hicho kibanda cha chips sijui m-pesa kuwekewa kwenye Mahakama yenye furnitures nzuri hivyo, na inayohudhuriwa na dignitaries? Nyani ni Nyani tu hata avae suti. Aibu naona mimi. 🫣
Usikute hawa majaji shuleni walienda kusomea ujinga, haingii akilini majaji watatu wote wameshikiwa akili wanakubali kujidhalilisha kiasi hiki.
 
Wakuu

Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone

Mahakama iliridhia kizimba maalumu cha kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia hakikidhi vigezo vya kisheria hivyo kifanyiwe marekebisho ili kuendana na matakwa ya kisheria .

Yericko atakaa humo masaa manne.
 
Keko fenicha oyee
 
Yericko Nyerere baada ya kesi hii uondoke na hii takataka ukauzie bamia zako huko Mbutu.
 
Back
Top Bottom