PostGE2025 Kesi ya Lissu: Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho, kilichosababisha Kesi kuahirishwa

PostGE2025 Kesi ya Lissu: Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho, kilichosababisha Kesi kuahirishwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Duh hiyo workmanship wandugu! Dah bongo bahati mbaya aisee, ukiuliza bei gani imetumika utashangaa inatosha kujenga bedroom 3 uswazi😛😛

Hiyo takataka kweli imewekwa ndani ya jengo la mahakama kuu nchi? Shitholeni

Lissu anawaweka uchi sana hawa makatili aisee

Kwa hisani ya fundi maiko
Hawana akili, hiyo Takataka unaweka ndani ya Mahakama Kuu,

Nchi imefikia hatua mbaya sana, kama hao mashahidi Kuna haja gani kujificha kama ushahidi wao ni wa kweli?
 
Huko serikalini kuna cheo ukipewa tu tayari ushaingia kwenye lawama 😁
Ha haaa, haiwezi kuwa deal done kwa kuomba kupangiwa kesi nyingine tu labda nikienda extra mile hadharani kutoa ufafanuzi kwa nini nimeamua hivyo, nchi ngumu sana hii.
 
Wakuu

Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone

Mahakama iliridhia kizimba maalumu cha kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia hakikidhi vigezo vya kisheria hivyo kifanyiwe marekebisho ili kuendana na matakwa ya kisheria .

Kidirisha kama cha kwenda kuungama, kwa Padre
 
Mmiliki wa hizi mali pichani ndiyo muhusika wa ushenzi wote unaoendelea nchini ...
 

Attachments

  • Screenshot_20230930-090635_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230930-090635_Samsung Internet.jpg
    190.1 KB · Views: 28
  • Screenshot_20230930-090531_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230930-090531_Samsung Internet.jpg
    194.5 KB · Views: 29
  • Screenshot_20230930-090520_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230930-090520_Samsung Internet.jpg
    200.1 KB · Views: 25
Back
Top Bottom