Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Walikuwepo majaji wenye msimamo. Na walitenda haki bila kujali maagizo kutoka juu.Hiyo ni kwenye maandishi, ila kwenye uhalisia ni kitu tofauti sana mkuu
Amandla...
Walikuwepo majaji wenye msimamo. Na walitenda haki bila kujali maagizo kutoka juu.Hiyo ni kwenye maandishi, ila kwenye uhalisia ni kitu tofauti sana mkuu
mara ya mwisho mwaka gani hao majaji?Walikuwepo majaji wenye msimamo. Na walitenda haki bila kujali maagizo kutoka juu.
Amandla...
Okra Spy Yericko NyerereKesi ikiisha Yericko akabidhiwe kizimba chake.
Zamani kidogo.mara ya mwisho mwaka gani hao majaji?
Jaji Bernard Luanda akiongoza jopo la majaji wenzake kwenye kesi ya Lema, alisema kuwa ofisi ya DPP ina itia najisi taaluma yao kwa kumshikilia Lema kwa miezi minne bila sababu yeyote ya msingi.mara ya mwisho mwaka gani hao majaji?
zama zimebadilika yule mwengine aliziita mahakama za kwake , mifumo yasasa hata wewe uteuliwe leo tutakushangaa tu keshoZamani kidogo.
Jaji Bernard Luanda akiongoza jopo la majaji wenzake kwenye kesi ya Lema, alisema ofisi ya DPP kuwa wana itia najisi taaluma yao kwa kumshikilia Lema kwa miezi minne bila sababu yeyote ya msingi.
Kuna Jaji mwingine wa kihaya ambae alijijengea sifa ya kutoa hukumu kwa haki bila kuogopa.
Amandla....
Hana aibu ukiona background ya picha inaonekana ni mitaaa iliyojichokeaYoweri Museveni ambaye nae anasema alichaguliww kwa kishindo cha 71 % nae hajiamini kama mwenzie wa kishindo cha 98% hapo yuko kwenye na polisi tupu ila bado amejificha kwenye kizimba chake.
View attachment 3542864
Hiki kizimba kwa serikali yetu ilivyo utasikia zilitumika bilioni mbili kukijenga!Wakuu
Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone
Watawala dhalimu hilo haliwasumbui wao wanatanguliza madaraka na familia mbele.Hana aibu ukiona background ya picha inaonekana ni mitaaa iliyojichokea
DuhHiki kizimba kwa serikali yetu ilivyo utasikia zilitumika bilioni mbili kukijenga!
View attachment 3542866
Zama hazijabilika bali watu ndio wamebadilika. Sidhani kama mtu kama Jaji Samatta angekubali kuendeshwa. Majaji wa enzi zile walipitia tanuru la moto na waliamini kuwa wameteuliwa kutokana na uwezo wao na sio upendeleo. Kwa mtu kama huyo legacy yake ina uzito kuliko short term gains. Wa sasa wanaamini wamepewa upendeleo hivyo wana wajibika kulipa fadhila.zama zimebadilika yule mwengine aliziita mahakama za kwake , mifumo yasasa hata wewe uteuliwe leo tutakushangaa tu kesho
Ungejiuzulu kulinda heshima yako na vizazi vyakoWe ungekua jaji ungefanya nini? ikiwa ni kesi za maelekezo?
utawala wa sheria ulishakufa mkuu, tofauti na huko zamani serikali imeshika nguvu zote, mkuu na balaa lote lilotokea kwenye uchaguzi wanu kua naibu waziri , hakuna ujumbe wowote uliopata hapo? nakwambia kwa sasa hata huyo jaji unayemsema aletwe muendeleo sidhani kama utakua tofauti.Zama hazijabilika bali watu ndio wamebadilika. Sidhani kama mtu kama Jaji Samatta angekubali kuendeshwa. Majaji wa enzi zile walipitia tanuru la moto na waliamini kuwa wameteuliwa kutokana na uwezo wao na sio upendeleo. Kwa mtu kama huyo legacy yake ina uzito kuliko short term gains. Wa sasa wanaamini wamepewa upendeleo hivyo wana wajibika kulipa fadhila.
Amandla...
kama ni kweli mnasema serikali hii dhalimu basi bila shaka kujiuzulu nalo si jambo la kwamba unajiamulia tu nimejiuzulu bila ya kupata mushkeliUngejiuzulu kulinda heshima yako na vizazi vyako
Jaji amesomea KUSIMAMIA haki sio kupewa maelekezo pumbavu
"Blacks are half-humans". 🙆 Sema sisi weusi ni wabishi sana, ila huo ndo ukweli wenyewe.