Hicho ni kibubu siyo kibanda.Hicho kibanda kimenunuliwa kwa bil. 2.3. Wametumia framework
Hakati tamaa tu?,,??
Mkuu 'Lax', nikikusoma hadi nakuonea huruma sasa kwa kiasi cha ujinga (samahani kwa kutumia neno hili, ila ndio ukweli) unachojaribu kukitumia kama kinga yako ya kutetea uovu.Ni kama ukisikia mtu amechukuliwa mateka, hivi mateka hiwa wanaleta ubishi? si huwa wanatii mtekaji ili waongeze chance za kutoka salama
Mkuu 'Lax', nikikusoma hadi nakuonea huruma sasa kwa kiasi cha ujinga (samahani kwa kutumia neno hili, ila ndio ukweli) unachojaribu kukitumia kama kinga yako ya kutetea uovu.
Ukweli ni kuwa wewe siyo "mjinga", ila unatumia mbinu hiyo kupitisha upuuzi unaoutetea bila hata ya aibu.
Huu utamaduni wa kilaghai huu, huwa mnafundishwa mngali wadogo; mbona kila anayeibuka humu JF mbinu ni zilezile kama anazotumia Samia na Genge lake?
Na kweli mnaamini waTanzania ni majuha kiasi cha kufanyiwa hadaa za aina hii?
Yoda,
Nitaanza kwa kurejea mahojiano ya Nyerere.
Kuna mahojiano fulani aliyafanya Mwalimu Nyerere na muandishi mmoja wa India anaitwa Saeed Naqvi. Katika mahojiano hayo, kuna swali Saeed Naqvi alimuuliza Nyerere kuhusu uhusiano wake na Nehru (kiongozi wa India), na mambo ambayo Nyerere alipata kujifunza kwa Nehru. I am paraphrasing (link ipo chini kabisa).
Nyerere alisema kuwa, hakupata kujuana sana na Nehru, lakini walikutana wakaongea wakati Nyerere anadai uhuru. Akasema kitu kimoja Nehru alichomuusia Nyerere ni kumwambia "take what you can". Yani Nehru alimwambia Nyerere Wakoloni waki ku offer kitu, hata kama si kikubwa sana, hata kama si kile ulichokitaka, hata kama huwapendi, hata kama kina mapungufu, ilimradi hicho kitu kina advance cause yako, kichukue.
Kwa nini nimerejea ushauri huu wa Nehru kwa Nyerere?
Wapinzani, wanaharakati na wapenda mabadiliko Tanzania wana wakati mgumu sasa. Wanadai uhuru kama alivyodai Nyerere. Angalau wanasema hivyo.
Kwa upande mmoja, hawaupendi uongozi wa Samia na mapungufu yake, wanataka katiba mpya, wanataka mabadiliko. Lakini, kwa upande wa pili, kuna watu wanatokea ndani ya CCM na kuupinga uongozi huu, watu hawa wana makandokando mengi. Kina Gwajima na Polepole hao. Inakuwa vigumu kuwaunga mkono. Wapinzani wanaona kama wakikubali hoja zao fulani, watawapa credit wakati kiukweli hawastahili credit, hawa ni matapeli wa kisiasa tu.
Nimeona Godbkess Lema anamshambulia sana Polepole.
Mimi narejea ushauri wa Nehru kwa Nyerere. Take what you can.
Kuna namna ya kukubaliana na baadhi ya hoja za Polepole na Gwajima, katika hoja fulani, bila ya kumfanya Polepole au Gwajima kuwa hero, kuwa mtume, kuwa shujaa.
Tatizo letu tuna "all or nothing" mindset. Yani tunataka ukimkubali mtu umkubali kwa kila kitu. Halafu hatujui kutenganisha mtu na hoja. Inawezekana nikakubaliana na Polepole kwenye hoja kwamba uteuzi wa Samia una dosari, lakini nisikubaliane naye kwenye hoja kwamba mtu akishakuwa PM, VP na Speaker hafai kuwa rais.
Kuna namna ya kukubaliana na Polepole kwenye hoja kwamba Samia kapitishwa kuwa mgombea kwa ambush na namna ya aibu, bila kujidanganya kwamba Polepole hana ulterior motives zilizo nje ya siasa za principle tu. Angekuwa na siasa za principle angekaa kimya wakati swahiba wake Magufuli anavunja katiba na kuteka watu?
Many a time we focus on the personalities instead of the points.
Let's focus on the points. Kuna points za Polepole zinaweza kusaidia movement ya kudai mabadiliko Tanzania. Take what you can.
Waingereza wanasema even a broken clock can be right twice a day.
Polepole is a charlatan, a Machiavellian politician jockeying for position in the name of principle.
But that does not mean he is useless. That does not mean some of what he says cannot be true and is not useful in furthering activism against the current regime.
Let's argue the points, not the personalities.
Interview ya Nyerere na Saeed Naqvi naiweka hapa kwa marejeo.
View: https://youtu.be/PVdxiBidCoU?si=NKbKbOfTrjJ_D_0V
Nenda chato ukamlilie kipenzi chako jiweWametengebeza mpaka hicho kizimba?
Watamnyonga aisee.
Acha mzee wa watu apumzike kwa amani.Nenda chato ukamlilie kipenzi chako jiwe
Ndo muasisi wa utekaji na mauajiAcha mzee wa watu apumzike kwa amani.
Alifanya yake , tuliobakia tuna wajibu wa kuendelea alipoacha.
gentleman,Ikiwa mlimkosa pale Area D dodoma, huyo muhaini bado yupo sana na tutakuwa nae nje mapema sana.
Kinachofanyika hapo ni kumnyanyasa na kumpotezea muda tu ili yule mama yenu akae bila kupigwa SPANNER

Huwa sibahatishi juu ya watu wa aina yako. Nimejibishana nao kiasi humu JF, na kila mara mwisho huwa ni bayana kabisa, kwa wao kujifunua waziwazi, kama unavyoelekea sasa hivi wewe mwenyewe.mkuu ngoja tusubiri majibu ya tume na muelekeo wa serikali utakua upi baada ya tathmini ya tume.
mkuu kwa tulipofika all or nothing, naona inaenda kua ngumu
msome Kiranga july 25, 2025
mkuu kalamu waovu ndo wameshika mamlaka hapa lazima tuamue vitu vya kugawana, mi najua tunashindwa kuelewana kwa sababu ya machungu ya oktoba 29 tu
Huwa sibahatishi juu ya watu wa aina yako. Nimejibishana nao kiasi humu JF, na kila mara mwisho huwa ni bayana kabisa, kwa wao kujifunua waziwazi, kama unavyoelekea sasa hivi wewe mwenyewe.
Mwovu yeyote siku zote hufikiri uovu wake utamlinda daima; kwa hiyo hili siyo la ajabu kwenu kufikiri hivyo.
Ujuha wenu ni kudhani waTanzania ni mateka wenu, kwa hiyo hawawezi kujiondoa kwenye hali hiyo.
Hiyo mitutu unayoiona na kujivunia, ni swala la dakika chache tu, inabadilisha hali. Jiandae kila dakika inayopita, huenda ndiyo ya mwisho kwenu. Hili hamna uwezo wa kulizuia tena.
Akili yako ni mbovu sana wewe, huna tofauti na hiyo misukule mingine ninayokutana nayo kila mara humu JF.Mkuu mjumbe hauwawi,
Mkuu mi nakuonesha uhalisia wa mambo , mi na tathmini nachokiona.
Suala nalolipinga kwa nguvu zote ni kuaminishana vitu visivyowezekana, hao watanzania unaowasema ushajiuliza kwanini waliotoka okt 29, hawakutoka d9, au d25 au j1, --- mkuu kama kweli upo honest nipe analysis yako kwenye hili
Mkuu samia asipo fika 2030 njoo unitagAkili yako ni mbovu sana wewe, huna tofauti na hiyo misukule mingine ninayokutana nayo kila mara humu JF.
Wewe ni nani kujuwa "uhalisia wa mambo" zaidi ya wengine; huo uhalisia umepewa na Samia anayekufuga kama nguruwe, ili uje hapa JF na laghai kama hizi ?
N "vitu gani visivyowezekana"? Unapolishwa masalia ya chakula anachokutupia Samia akili zote zinakuruka kichwani, na kufikiri kuwa huyo Samia ndio mungu wako?
Tambua hili, safari nyingine hamtawaua waTanzania kama wanyama wakati nyinyi mkibaki salama. Hilo ndilo unapashwa kwenda kumweleza huyo mfugaji wako anayekuleta humu jukwaani kueneza upumbavu..
Sina sababu wala haja ya kufanya upuuzi kama huo.Mkuu samia asipo fika 2030 njoo unitag
BAsi mi ntakukumbusha mkuu,Sina sababu wala haja ya kufanya upuuzi kama huo.
Wewe unayemtegemea kwa kila kitu hata humu JF hutaonekana tena mara tu atakapowajibishwa na waTanzania wenyewe.
Jiandae tu kwa hali hiyo isiyoepukwa.
Mbona kama tundu la njiwa? Ila hawa mashahidi wanadhalilika sana aisee! Inakuwaje mwanaume mzima anakubali kuchuchumalishwa humu kama vile mwanamke anayepigwa miti?Wakuu
Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone
Fuatilia mwenendo wa kesi hapa > Kesi ya Lissu: Inaendelea leo Feb 12, 2026 Mahakama Kuu baada ya uamuzi wa mapingamizi
Mahakama iliridhia kizimba maalumu cha kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia hakikidhi vigezo vya kisheria hivyo kifanyiwe marekebisho ili kuendana na matakwa ya kisheria .