Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Unakataa kufuata maelekezo. Ndio maana hamna utaratibu wa kumvua mtu ujaji umefanywa kuwa mgumu sana. Kwa kufupi, Rais na Jaji Mkuu hawana Mamlaka ya kumfukuza kazi Jaji akiwakwaza.We ungekua jaji ungefanya nini? ikiwa ni kesi za maelekezo?
Amandla...


