Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
muhaini hatoboi ndungu zangoWakuu
Hiki ndicho Kizimba cha mashaidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone
Mahakama iliridhia kizimba maalumu cha kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia hakikidhi vigezo vya kisheria hivyo kifanyiwe marekebisho ili kuendana na matakwa ya kisheria .
Masikini weee, Mbowe amekubali kugeuzwa njiwa na hawa wahuni, inasikitisha sana.Wakuu
Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone
Mahakama iliridhia kizimba maalumu cha kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia hakikidhi vigezo vya kisheria hivyo kifanyiwe marekebisho ili kuendana na matakwa ya kisheria .
Bora useme wewe maana akisema Trump watasema ni mbaguzi wa rangi, yaani ni upuuzi mtupu."Blacks are half-humans". 🙆 Sema sisi weusi ni wabishi sana, ila huo ndo ukweli wenyewe.
Katika Jina la Yesu,ninanyunyiza damu ya Yesu mara 7 ndani ya kizimba hiki. Endapo atasimama shahidi wa uongo ndani yake Kwa lengo la kudhulumu haki ya mtumishi wa Mungu Tundu Lissu. Ardhi ifunguke kinywa immeze. Zaburi 109. Yaliyotajwa ktk Zaburi hii na yawe juu yake kwa Jina la Yesu. Amen✝️Wakuu
Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone
Mahakama iliridhia kizimba maalumu cha kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia hakikidhi vigezo vya kisheria hivyo kifanyiwe marekebisho ili kuendana na matakwa ya kisheria .
Kabisa Chief. Ujue kwa binadamu aliyekamilika hawezi kufanya hiyo hila dhidi ya Tundu Lisssu. Sasa unashangaa Rais na Mjaji wanashiriki hiyo hujuma ya wazi wazi bila aibu.Bora useme wewe maana akisema Trump watasema ni mbaguzi wa rangi, yaani ni upuuzi mtupu.
Wakuu
Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone
Mahakama iliridhia kizimba maalumu cha kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia hakikidhi vigezo vya kisheria hivyo kifanyiwe marekebisho ili kuendana na matakwa ya kisheria .
Usikute hawa majaji shuleni walienda kusomea ujinga, haingii akilini majaji watatu wote wameshikiwa akili wanakubali kujidhalilisha kiasi hiki.Kabisa Chief. Ujue kwa binadamu aliyekamilika hawezi kufanya hiyo hila dhidi ya Tundu Lisssu. Sasa unashangaa Rais na Mjaji wanashiriki hiyo hujuma ya wazi wazi bila aibu.
Ukiachana hata na hiyo nia ovu iliyo nyuma ya kibanda hicho, angalia ubora wa hiyo takataka; je ni halali hicho kibanda cha chips sijui m-pesa kuwekewa kwenye Mahakama yenye furnitures nzuri hivyo, na inayohudhuriwa na dignitaries? Nyani ni Nyani tu hata avae suti. Aibu naona mimi. 🫣
Yericko atakaa humo masaa manne.Wakuu
Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone
Mahakama iliridhia kizimba maalumu cha kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia hakikidhi vigezo vya kisheria hivyo kifanyiwe marekebisho ili kuendana na matakwa ya kisheria .
Keko fenicha oyeeWakuu

Yericko Nyerere baada ya kesi hii uondoke na hii takataka ukauzie bamia zako huko Mbutu.Wakuu