Hakuna anayehitaji huruma ya yeyote. Kinachohitajika asiwepo wa kuingilia Uhuru wa Mahakama.Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.
Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Hakuna Cha huruma Mahakama ndio iamue ,si wameenda huko Kwa mabwana zao Ulaya waje Sasa wamtoe.Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.
Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Hakuna walipopigwa mkuu, mwenye kisu ndio mla nyama. Ikienda ki haki Lissu hata kesho anatoka ni vile tu uchawa, umasikini na njaa imemaliza akili kabisa za Taifa hili.Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.
Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Unadhalilisha sheria kama umesomea Unawezaje kukamata Mtu huna Ushaidi kwa kipindi kirefu wakati haki Jinai Inakataza ?Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.
Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Unaweza kuwa unaongea Ili ufundishwe,tulia endelea kuamini unachoaminiHakuna anayehitaji huruma ya yeyote. Kinachohitajika asiwepo wa kuingilia Uhuru wa Mahakama.
Kama huruma ya huyo unatemtaja ni kuiingilia Mahakama, basi katika hilo hakuna anayelihitaji
Mbona kama ID mpya hii?Wewe siyo miongoni mwa Machawa na Malaya wa kisiasa kina Tlaatlaah chiembe MamaSamia2025 jingalaoLeo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.
Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Sheria nimepractice 25 years,hao wanasheria wenu baadhi wakija kwangu hawanaga maneno kama Yako Bali Huwa wanatikisa kichwa tuUnadhalilisha sheria kama umesomea Unawezaje kukamata Mtu huna Ushaidi kwa kipindi kirefu wakati haki Jinai Inakataza ?
Mawakili wa utetezi wamepwaya sana huo ndio ukweli, wakili wa jamhuri kawasambaratisha vibaya sana.Mods tupunguzieni vichaa jukwaa la siasa linashushiwa heshima.
Wewe ndiye wa kufundisha mtu? Kwa upuuzi uliouandika hapo? Ni heri watu wabaki na upumbavu wao kuliko kupelekewa wewe kama Mwalimu wao.Unaweza kuwa unaongea Ili ufundishwe,tulia endelea kuamini unachoamini
Kwa usalama wa nchiUnadhalilisha sheria kama umesomea Unawezaje kukamata Mtu huna Ushaidi kwa kipindi kirefu wakati haki Jinai Inakataza ?
Utawaelewje wanasheria wa utetezi wakati mmejificha kwenye kichaka cha kuahirisha kesi? Lissu haitaji huruma ya Samia. akitaka aahirishe kesi mileleLeo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.
Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Una matatizo kichwani ila hujuiLeo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.
Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Hawa vilaza hata mimi nashangaa wametokea wapi ?Mods tupunguzieni vichaa jukwaa la siasa linashushiwa heshima.
Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.
Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Siku hizi mabwana zetu wanatoka Uarabuni!Hakuna Cha huruma Mahakama ndio iamue ,si wameenda huko Kwa mabwana zao Ulaya waje Sasa wamtoe.
Tangu papa Leo alivokwepa bendera yenu na Trump na Putin kuwakataa mpo hoi sanaSiku hizi mabwana wetu wanatoka Uarabuni!