The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Ogopa sana mwanamke akishika mpini
Abhahemba bhano kutikigo?Kutikigo?
Ingekuwa ina mkono mrefu wasinge kuwa wqnq hangaika na upinzani wangekuwa busy kujenga nchiKuna haja tukubali tu kwamba Serekali ina mkono mrefu
Naunga mkono hoja, hili hata mimi nilishauri Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Waziri alilala na goma la kitusi morogoro siyo *****,acha uchokoKuna wakati UVCCM inadaiwa ilikuwa inaongozwa na shoga!!! Na mwana CCM mmoja bosi Wa mkoa alilala na shoga pale Morogoro akaibiwa mpaka bunduki.
Kiswaga anajulikana ni pro government. jamhuri wamesema nini cha maana?Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.
Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Ni ukilaza wa mwanasheria mkuu wa serikali kuna na kesi ya kichawa kumbe anaharibia nchi....wee jihari hukuna na uwezo huo wa hiyo nafasiLeo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.
Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Mnatamani sana Kamanda amlambe miguu huyo rais wenu wa mchongo! Ila kwa bahati mbaya jambo hilo haliwezi kutokea kwa mtu anayeamini katika haki.Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.
Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Wafuasi wa CHADEMA muwe mnasoma historia. Mandela kuachiwa sio kwamba aliogopwa au kulikuwa na shinikizo lolote... USA kupitia CIA kwa maslahi yake binafsi ndo iliamua kumwachia ila kwa masharti. Hadi leo hii weusi wa South Afrika hawana uhuru kwa 100% hasa kwenye umiliki wa ardhi. Ukitumia mfano wa Mandela utakuwa humtendei haki mwenyekiti wako.Mandela alikaa jela miaka 27 hakuomba huruma ya Makaburu.