Kesi ya Lissu inahitaji huruma ya Rais Samia tu, sio lundo la wanasheria watetezi

Kesi ya Lissu inahitaji huruma ya Rais Samia tu, sio lundo la wanasheria watetezi

Peleka utekaji mbali na watu wewe duanzi wahead! Jamuhuri kuna wanasheria wepi! Hakimu anatoa amri akitetemeka kama konokono! Mtumaji kashindwa zamani mbona
Mla ugali kwa picha ya samaki upo,hivi Lissu na Besigye nani anafaa kuwa mwenyekiti msaidizi kule IDU
 
CDM mikakati yenu yote inafail,mmeteka watu siku ya Kwanza hapo mahakamani mkawatesa na kuwatupa porini lawama mnaleta kwa serikali,
Kweli Mungu yupo. Unadhani binadamu anaweza kuvumilia kujichetua kwa kiwango hiki!?
 
Huruma ya nini? Sheria ikitumika bila kuipindisha Lissu anashinda. Tatizo ni ili kauli ya "bao la mkono" hilo bao linapindisha sheria.
 
Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri

Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani

Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.

Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Shida ya nyumbu ni kuwa akishinda watakuambia mahakama imetenda haki ila akishindwa watakuambia nchi hii hakuna mahakama. Ht uchaguzi ili uwe huru na wa haki ni mpaka washinde wao, hayo ni mazombie yazoe km yalivyo
 
CDM mikakati yenu yote inafail,mmeteka watu siku ya Kwanza hapo mahakamani mkawatesa na kuwatupa porini lawama mnaleta kwa serikali,mkaleta wanaharakati walete fujo na kichonganish nchi na nchi mkashindwa licha pia ya kutumia vyombo vya nje na huruma kimataifa,Leo mkaamua kumtoa kafara mkuu lkn ameaibika mwenyewe,hivi kati ya Besigye na Lissu nani anapaswa kuwa makamu wa mwenyekiti wa IDU
Mimi si CHADEMA. Ukiniambia "CHADEMA mikakati yenu ina fail" tayari wewe ndiye ume fail.

Nchi inaendeshwa kwa sheria, haiendeshwi kwa huruma.
 
Shida ya nyumbu ni kuwa akishinda watakuambia mahakama imetenda haki ila akishindwa watakuambia nchi hii hakuna mahakama. Ht uchaguzi ili uwe huru na wa haki ni mpaka washinde wao, hayo ni mazombie yazoe km yalivyo
Mara REFA wao,mara VAR (hakimu) ameelekezwa kama timu yangu Simba tu
 
Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri

Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani

Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.

Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Inaonyesha wewe ni mweupe sana wa masuala ya sheria. Pole sana ndugu.
 
Haya ndio mambo yanayonifanya nione katiba mpya iliyo bora ni muhimu kuliko watu wanavyofikiri.Huu ujinga wakuona mtu mmoja ndiye mwenye kuamua haki ya mtu au maisha ya mtu mwingine ni ujinga wa kiwango kikubwa sana.Hiyo kesi kama kweli aliyoyasema lissu kwenye sheria yanaonekana ni makosa ya uhaini unasemaje hadi rais aingilie badala ya mahakama kutoa tafsiri sahihi yakile kitakachowasilishwa kama ushaidi.Kama umeanza kuona rais ndiye anayepaswa kuingilia hakuna kesi hapo zaidi ya kusumbuana vinginevyo hoja zakisheria ndio zingekua msingi wa kesi mwanzo hadi mwisho.
 
K
Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri

Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani

Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.

Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Kama hujui hao wanasheria wamepwaya wapi unapata wapi moral authority ya kusema wamepwaya?

Siku nyingine kama
Kitu hukijui ni bora ukakaa kimya.
 
Back
Top Bottom