Kesi ya Lissu inahitaji huruma ya Rais Samia tu, sio lundo la wanasheria watetezi

Lisu alisha sema hataki huruma labda hii iende kwa Mama yako,
 
Wewe ni mpumbavu kama yule Ponjolo wa Kinondoni
 
Nimekuelewa kuwa hii kesi ni ya mchongo kwa vile Samia ndiye ameamuru ifunguliwe ni yeye tu anayeweza kuamuru ifutwe kwa sababu hata majaji na mahakimu wanapokea amri toka kwa Samia na hapo hata taaluma ya sheria haihusiki kwani hakuna kesi bali kuna agizo la Rais. Asante kwa kuleta hoja hii
 
Huku na yeye anahitaji huruma ya Gwajiboy!
 
Mawazo Yako tu,hints zangu sijaweka msije mkagandamizia
 
Kama raha yao ya kuishi Lissu ni kikwazo basi wamuue au wamfunge tu.
Kwani wao wataishi milele?
 
Mmmh
 
Kwa hiyo saivi nchi inaendeshwa kwa huruma za Rais wala sio Katiba na Sheria?
 
Kwenye sheria kuna kifungu cha "huruma" ?
 
Ulikua umezowea magovi ya wazungu!?
Ndiyo maana mbunge Wa chama chetu CCM, Mwita waitara anataka wenzake wapimwe. Lazima Kuna kitu anakijua kuhusu Wana CCM wenzake.

Hivi yule dada wa CCM aliyesema kuwa CCM kumejaa mashoga ulimwelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…