Kesi ya Lissu inahitaji huruma ya Rais Samia tu, sio lundo la wanasheria watetezi

Ndiyo maana mbunge Wa chama chetu CCM, Mwita waitara anataka wenzake wapimwe. Lazima Kuna kitu anakijua kuhusu Wana CCM wenzake.

Hivi yule dada wa CCM aliyesema kuwa CCM kumejaa mashoga ulimwelewa?
Unapenda kurukiarukia mambo,utalambwa
 
Waulize wanasheria wenu wanashindwa wapi,Leo hakuna kitu walichofanya,wamepigwa mapemaaaaa
Mkuu sina mwanasheria,na wala hawanihusu.Hapa natoa mawazo kama mtanzania na wala sipingani na mashtaka bali naongelea fact.
 
Nilipofika ulipoandika eti "Huwezi kusema wanasheria wa utetezi wamepwaya na huwezi kusema wamepwaya wapi" nilajua wewe mbwa koko kabisa. Sengeleeeema kubwa...
 
Mzee kwenye hatua za upepelezi kwa sheria zetu jamhuri inapata mianya mingi ya kukwepesha kwepesha uharaka wa kesi ingekuwa kesi ya msingi ungepata nafasi nzuri ya kupima not at this level.
 
Wewe una akili ndogo, yaani single digit IQ, ulitaka Hakimu atupilie hii kesi kwa reason gani? Swali moja tu ndiyo maana hakutupilia mbali hii kesi, aliwauliza Jamuhuri wapo stage gani? Hiyo ndiyo iliwaokoa, ngoja waje hivyo hivyo next time, utasikia. Mawakili wamejitahidi sana, ila kuna vimwanya vidogo sana walifungua (loopholes);

Ujue hii ni kesi ya uhaini, (ofcourse ya bandia), hakimu anakuwa imaprtial
 
EU inataka kuzaa na utawala wa Saa100
 
Mawakili wa utetezi wamepwaya sana huo ndio ukweli, wakili wa jamhuri kawasambaratisha vibaya sana.


But mbona wao ndio wanataka kesi iendeleee?

I think wangekuwa wamepwaya kwa aina unayosema then wangekuwa wanakubali kirahisi ombi la kughairisha linapokuja
 
Nchi inaendeshwa kwa sheria, haiendeshwi kwa huruma.
 
Ingekuwa miaka ya 1960 tungesema kweli sababu TV unayo wewe nyumbani.

Ila karne hii ya 21 na watu 150k na zaidi wameshuhudia.

Basi endelea kujifariji huku ukichekesha jukwaa ukidhani bado watu wapo gizani.
 
Peleka utekaji mbali na watu wewe duanzi wahead! Jamuhuri kuna wanasheria wepi! Hakimu anatoa amri akitetemeka kama konokono! Mtumaji kashindwa zamani mbona
 
Huna akili?
 
Simjui na wala siko interested kumjua.

Point yangu hujaiongelea.

Nchi inaendeshwa kwa sheria, haiendeshwi kwa huruma.
CDM mikakati yenu yote inafail,mmeteka watu siku ya Kwanza hapo mahakamani mkawatesa na kuwatupa porini lawama mnaleta kwa serikali,mkaleta wanaharakati walete fujo na kichonganish nchi na nchi mkashindwa licha pia ya kutumia vyombo vya nje na huruma kimataifa,Leo mkaamua kumtoa kafara mkuu lkn ameaibika mwenyewe,hivi kati ya Besigye na Lissu nani anapaswa kuwa makamu wa mwenyekiti wa IDU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…