Mla ugali kwa picha ya samaki upo,hivi Lissu na Besigye nani anafaa kuwa mwenyekiti msaidizi kule IDUPeleka utekaji mbali na watu wewe duanzi wahead! Jamuhuri kuna wanasheria wepi! Hakimu anatoa amri akitetemeka kama konokono! Mtumaji kashindwa zamani mbona
Kweli Mungu yupo. Unadhani binadamu anaweza kuvumilia kujichetua kwa kiwango hiki!?CDM mikakati yenu yote inafail,mmeteka watu siku ya Kwanza hapo mahakamani mkawatesa na kuwatupa porini lawama mnaleta kwa serikali,
Shida ya nyumbu ni kuwa akishinda watakuambia mahakama imetenda haki ila akishindwa watakuambia nchi hii hakuna mahakama. Ht uchaguzi ili uwe huru na wa haki ni mpaka washinde wao, hayo ni mazombie yazoe km yalivyoLeo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.
Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Acha kuingilia uhuru wa mahakamaHuruma ya nini? Sheria ikitumika bila kuipindisha Lissu anashinda. Tatizo ni ili kauli ya "bao la mkono" hilo bao linapindisha sheria.
Kichwa panzi wewe umebadilishia gia matakoni mwako!? Haya ya wapi sasa Mavi kunuka weweMla ugali kwa picha ya samaki upo,hivi Lissu na Besigye nani anafaa kuwa mwenyekiti msaidizi kule IDU
We Mirembe umetoroka lini? Tunakuja kukurudisha kabla hujaleta madharaMods tupunguzieni vichaa jukwaa la siasa linashushiwa heshima.
Mimi si CHADEMA. Ukiniambia "CHADEMA mikakati yenu ina fail" tayari wewe ndiye ume fail.CDM mikakati yenu yote inafail,mmeteka watu siku ya Kwanza hapo mahakamani mkawatesa na kuwatupa porini lawama mnaleta kwa serikali,mkaleta wanaharakati walete fujo na kichonganish nchi na nchi mkashindwa licha pia ya kutumia vyombo vya nje na huruma kimataifa,Leo mkaamua kumtoa kafara mkuu lkn ameaibika mwenyewe,hivi kati ya Besigye na Lissu nani anapaswa kuwa makamu wa mwenyekiti wa IDU
Ndiyo unayoyawezaKichwa panzi wewe umebadilishia gia matakoni mwako!? Haya ya wapi sasa Mavi kunuka wewe
Mara REFA wao,mara VAR (hakimu) ameelekezwa kama timu yangu Simba tuShida ya nyumbu ni kuwa akishinda watakuambia mahakama imetenda haki ila akishindwa watakuambia nchi hii hakuna mahakama. Ht uchaguzi ili uwe huru na wa haki ni mpaka washinde wao, hayo ni mazombie yazoe km yalivyo
Babaa iko kaziMara REFA wao,mara VAR (hakimu) ameelekezwa kama timu yangu Simba tu
Mkuu Simba ikiharibu huwa nakasirika ila nachagua timu yeyote yenye jezi nyekundu tu natuliza koo sasa nipo WyadadBabaa iko kazi
Inaonyesha wewe ni mweupe sana wa masuala ya sheria. Pole sana ndugu.Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.
Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Yego JajiMbona kama ID mpya hii?Wewe siyo miongoni mwa Machawa na Malaya wa kisiasa kina Tlaatlaah chiembe MamaSamia2025 jingalao
Kutikigo?Yego Jaji
4R amewaletea hamkuzielewa au mlizitafsiri kwa lengo lililo nje ya 4R zenyewe( Amani),poleniSamia Toka lini akawa na huruma
Kama hujui hao wanasheria wamepwaya wapi unapata wapi moral authority ya kusema wamepwaya?Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.
Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.
Usifananishe mandela na huu upinde..Mandela alikaa jela miaka 27 hakuomba huruma ya Makaburu.