Kesi ya Lissu inahitaji huruma ya Rais Samia tu, sio lundo la wanasheria watetezi

kwa wananasheria wale wa upande wa utetezi Lissu anakula mvua za kutosha
 
Ukiwa bogus ni bogus tu ,hivi lini wanasheria Waserikali wakashinda mbele ya mawakili watetezi ? Haya mambo yasheria hayahitaji huruma na siku zote tunasema hakuna aliyejuu ya sheria , iwe Raisi au mtu yeyote ,wakati washeria unapofanya kazi yake acha ufanye kazi yake , tutolee uccm wako ,nyangau mkubwa huna haya , umeleta mada yakipuuzi sana ambayo haikupaswa kuwemo humu ndani .
 
Kuna wakati UVCCM inadaiwa ilikuwa inaongozwa na shoga!!! Na mwana CCM mmoja bosi Wa mkoa alilala na shoga pale Morogoro akaibiwa mpaka bunduki.
Waziri alilala na goma la kitusi morogoro siyo *****,acha uchoko
 
Nguruwe anafurahia mchezo wa kugargara kwenye tope, mawakili hapo mahakamani ni uwanja wao wa mpira, lakini kuna mtu anaumia katikati ya ubishi wao. Sasa huyo mtu asipokuwa makini.......
 
Kiswaga anajulikana ni pro government. jamhuri wamesema nini cha maana?
 
Ni ukilaza wa mwanasheria mkuu wa serikali kuna na kesi ya kichawa kumbe anaharibia nchi....wee jihari hukuna na uwezo huo wa hiyo nafasi
 
Mnatamani sana Kamanda amlambe miguu huyo rais wenu wa mchongo! Ila kwa bahati mbaya jambo hilo haliwezi kutokea kwa mtu anayeamini katika haki.

Mpotezeenu tu muda wake, halafu tuone na nyinyi mtavuna nini.
 
Mandela alikaa jela miaka 27 hakuomba huruma ya Makaburu.
Wafuasi wa CHADEMA muwe mnasoma historia. Mandela kuachiwa sio kwamba aliogopwa au kulikuwa na shinikizo lolote... USA kupitia CIA kwa maslahi yake binafsi ndo iliamua kumwachia ila kwa masharti. Hadi leo hii weusi wa South Afrika hawana uhuru kwa 100% hasa kwenye umiliki wa ardhi. Ukitumia mfano wa Mandela utakuwa humtendei haki mwenyekiti wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…