Kesi ya Lissu kama haina ushahidi thabiti basi haina Maslahi ipigwe Nolle prosequi isituchafue kama nchi

Mwana kondoo 2025

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2025
Posts
495
Reaction score
580
Mimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi

Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu.

Hata hao CHADEMA waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
 
Mimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu. Hata hao Chadema waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Mnavopenda kwenda na upepo
Zikivuma pepo za kusi mnatambaa nazo
Zikivuma Kaskazi nazo mnaambaa nazo
Yan kifupi bendera fuata upepo
Takataka kabisa🚮🚮🚮
 
Mimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi

Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu.

Hata hao CHADEMA waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Hii Kesi waiteme tu wanaisumbua mahakama bila sababu
 
Na imeshatuchafua kwelikweli!

sijui ni kwanini huyu mama ni mwoga sana. pamoja na kuanza kupiga kampeni siku nyiiiingi ila ...
 
Ningekuwa Makalla wewe ndo ningekulipa posho wanazolipwa majinga kina Lucas Mwashamba Tlaatha, choice variables, Pascal Mayalla na wengineo.

Wewe ni mwana CCM pekee kwa sasa hapa JF unayetumia akili zako vizuri.
Haa haa😁😁😁 acha nicheke mie...

Umempa credit asizostahili huyu Mwana kondoo 2025...

Hawa kijani yapo kama kama nguruwe hivi. Unamsafisha sasa, baada ya muda kidogo anakunyea...

Usije kukuta ndiyo maakina Tlaatlaah au ChoiceVariable au kipara kipya au Shotocan au Lucas Mwashambwa au hata mzee mwenyewe Pascal Mayalla wanaingia humu kwa ID nyingine tu...

These guys are so disgusting, conic and hypocrites ambao ktk public yanampamba kweli Chura Kiziwi ili mradi yanapata ujira wa udhalimu unaonuka damu na mateso ya Watanganyika wenzao na kisha wanaenda kulisha laana watoto na familia zao...

Lakini yakibaki peke yao kwenye vyumba vyao nafsi na dhamiri zinawasuta na kuwauma kweli kwa sababu yanajua fika kuwa yanatenda makosa...!!
 
Haa haa😁😁😁 acha nicheke mie...

Umempa credit asizostahili huyu Mwana kondoo 2025...

Hawa kijani yapo kama kama nguruwe hivi. Unamsafisha sasa, baada ya muda kidogo anakunyea...

Usije kukuta ndiyo maakina Tlaatlaah au ChoiceVariable au kipara kipya au Shotocan au Lucas Mwashambwa aliyeingia humu kwa ID nyingine tu...

These guys are so disgusting, conic and hypocrites ambao ktk public yanampamba kweli Chura Kiziwi ili mradi yanapata ujira wa udhalimu unaonuka damu na mateso ya Watanganyika wenzao..

Lakini yakibaki peke yao kwenye vyumba vyao nafsi na dhamiri zinawasuta na kuwauma kweli kwa sababu yanajua fika kuwa yanatenda makosa...!!
😀😀😀kwanini umenichekesho hivi
 
Mimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi

Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu.

Hata hao CHADEMA waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Mkuu hii iko hivi,hii kesi ni mkakati mahsusi wa wapinzani wa Samia ndani ya CCM kumharibia, kila mwenye akili analiona hili nashangaa kwa nini Samia
mwenyewe halioni hili.
 
Ningekuwa Makalla wewe ndo ningekulipa posho wanazolipwa majinga kina Lucas Mwashamba Tlaatha, choice variables, Pascal Mayalla na wengineo.

Wewe ni mwana CCM pekee kwa sasa hapa JF unayetumia akili zako vizuri.
Daaah!! Hadi mayalla umemuweka kundi la kina mwashambwa😭😭😭
 
Mimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi

Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu.

Hata hao CHADEMA waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Amechelewa, KESHO NA ALHAMISI NI JANDO...Nchi itakeketwa, poleni sana Watz
 
Back
Top Bottom