Kesi ya Lissu kama haina ushahidi thabiti basi haina Maslahi ipigwe Nolle prosequi isituchafue kama nchi

Kesi ya Lissu kama haina ushahidi thabiti basi haina Maslahi ipigwe Nolle prosequi isituchafue kama nchi

CCM inaiabisha Tanganyika yetu kwa mataifa.
 
hata ile "kesi" ya Yesu kristo haikuwa na ushahidi kabisa, sema waliinuliwa mashahidi wa uongo ambao hata walichokuwa wakisema pilato hakuwaelewa! Ila akahukumiwa bila hatia kwa "shinikizo".
 
Ningekuwa Makalla wewe ndo ningekulipa posho wanazolipwa majinga kina Lucas Mwashamba Tlaatha, choice variables, Pascal Mayalla na wengineo.

Wewe ni mwana CCM pekee kwa sasa hapa JF unayetumia akili zako vizuri.
Duuuuh!
 
Back
Top Bottom