Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ushahidi wa maneno tu uchunguzi mwezi mzima😀😀Kesi ambayo ni uzao wa maneno ya mtu, uchunguzi haujakamilika kwa zaidi ya mwezi, wenzako wamekurupuka!
Ushahidi wa maneno tu uchunguzi mwezi mzima😀😀Kesi ambayo ni uzao wa maneno ya mtu, uchunguzi haujakamilika kwa zaidi ya mwezi, wenzako wamekurupuka!
Wa kwanza na wapili nakubali lakini huyo wa tatu ameshajizima data sasa hivi sijui ni matumizi yaliyopitiliza ya pombe au ni age go lakini muondoe kabisa.Wapo akina Figganiga, Britanicca, Pascal Mayalla
Huo uwezo haupo ndio maana wanahaha.... Mchafuke mara ngapi na mmeshachafuka ...Mimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi
Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu.
Hata hao CHADEMA waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Jana nilisikiliza Mchungaji Mtalemwa Youtube akisema ni kosa kubwa sana kwa Utawala wowote kumdhuru mtumishi wa Mungu.Anguko fulani linapojili, mhusika huwa hasikii wokovu!
Masaburi....Wanatumia makalio kufikiri
Yule Mzee Kuna wakati anajifyatua tu ...ila akili anazo vizuri tu.Daaah!! Hadi mayalla umemuweka kundi la kina mwashambwaðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Shida ya mahakama zetu zinachukua kila takataka na kukaa nazo. Inabidi waangalir sio kila anayetaka kufungua kesi basi inachukuliwa. Ndiyo maana wanajazana na mashauri huko mengine hayana msingi.Hii Kesi waiteme tu wanaisumbua mahakama bila sababu
Lissu hana kesi just matter of time lakini akae ndani mpak mwez mmoja kabla ya uchaguz tulikua tunamtega sana ila ameingia kwenye penalty boxSi CCM mmekubaliana na Zitto kumpa Ukiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni na wabunge wachache?
Vipi mmeona mchezo umeshtukiwa mapema nini na atakula hela zenu burebure?
Ana tofauti gani na hao?
Sio humu tu hata kule duniani.... Muenezi Makalla Mashavu anatuletea stori za ASP na TANU kuungana ...Leo!!? Dunia ya leo!??Mkuu nitajie mwana CCM yoyote hapa JF anayetumia akili.
Lile guluguja ndiyo taahira kabisa ukiangalia lile bichwa mviringo na yale mashavu hata hajasema kitu unajua tu lile ni tutusa hamna kitu mle.Sio humu tu hata kule duniani.... Muenezi Makalla Mashavu anatuletea stori za ASP na TANU kuungana ...Leo!!? Dunia ya leo!??
Anaachiwa tu ajaze mwenyewe kikombe cha maovu yake ili hata yakijamfika asilaumu mtu.Jana nilisikiliza Mchungaji Mtalemwa Youtube akisema ni kosa kubwa sana kwa Utawala wowote kumdhuru mtumishi wa Mungu.
Akadai kuwa Mungu akitaka kukuanguasha anakuwekea mtego wa kuvamia na kumwaga damu za Watumishi wake.
Aliongeza kuwa, Mungu anakupa kibri unaanza kujidai mbona fulani tulimbonda, mbona yule naye tulimpiga na hakuna kilichotokea, mbona na huyu tutampoteza tu.
Wakati woote huo Mungu anakuhesabia idadi.
Na posho hamtapata maana hakuna atayeona umuhimu wa kulipa watuNami CCM kindaki ndaki nataka hivyo ili Uchaguzi uwe na hamasa,,kiukweli Uchaguzi bila Hawa watani hautanoga..
duh!Lile guluguja ndiyo taahira kabisa ukiangalia lile bichwa mviringo na yale mashavu hata hajasema kitu unajua tu lile ni tutusa hamna kitu mle.
duh!Lile guluguja ndiyo taahira kabisa ukiangalia lile bichwa mviringo na yale mashavu hata hajasema kitu unajua tu lile ni tutusa hamna kitu mle.
Hii kesi uhitaji kuwa na elimu ya juu Sana, 100% ni kesi ya kisiasa Haina chochote, uliwahi kusikia wapi uhaini unafanywa jukwaani?Mimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi
Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu.
Hata hao CHADEMA waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Upo sahihi. CHADEMA hawana uwezo wa kuingia ikulu kwa kura za wananchi maana CCM ina wanachama wengi huko vijijini na watajitokeza kumpigia kura mgombea wa CCM ila kwa tume huru ya uchaguzi CHADEMA itapata wabunge na madiwani wa kutosha kama theluthi moja (1/3).Mimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi
Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu.
Hata hao CHADEMA waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Mama muda wote anapiga kampeni, Sijui hata tume wakitangaza kuanzia kampeni itakuwa na maana ganiNa imeshatuchafua kwelikweli!
sijui ni kwanini huyu mama ni mwoga sana. pamoja na kuanza kupiga kampeni siku nyiiiingi ila ...
Hatuwezi kuifuta mapema hivyo. Lissu hajasota vya kutosha. Anaitaje R4 za mama na yale maelewano ya mama na "mboye" ni professorial rubbish?Mimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi
Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu.
Hata hao CHADEMA waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Kiukweli ni uwoga Yale maneno ya lissu sio ya kumfungulia kesi ya uhaini ni woga tu wa kuogopa kukabiliana naye majukwaaniLissu hana kesi just matter of time lakini akae ndani mpak mwez mmoja kabla ya uchaguz tulikua tunamtega sana ila ameingia kwenye penalty box