Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Ana tofauti gani na hao?Daaah!! Hadi mayalla umemuweka kundi la kina mwashambwaðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Ana tofauti gani na hao?Daaah!! Hadi mayalla umemuweka kundi la kina mwashambwaðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Yes, vijana wa CCM ni wanafiki mno...😀😀😀kwanini umenichekesho hivi
Hatuchethi tenaMimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi
Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu.
Hata hao CHADEMA waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Kwa tume inayo jifungia ambavyo haitaki maoni ya wananchi swali fikirishi tume ya wananchi inatakiwa iwejeMimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi
Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu.
Hata hao CHADEMA waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Ikiiendelea watakuja kubanangana Mahakamani wenyeweHii Kesi waiteme tu wanaisumbua mahakama bila sababu
Ningekuwa Makalla wewe ndo ningekulipa posho wanazolipwa majinga kina Lucas Mwashamba Tlaatha, choice variables, Pascal Mayalla na wengineo.
Wewe ni mwana CCM pekee kwa sasa hapa JF unayetumia akili zako vizuri.
Anguko fulani linapojili, mhusika huwa hasikii wokovu!Mimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi
Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu.
Hata hao CHADEMA waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Mkuu nitajie mwana CCM yoyote hapa JF anayetumia akili.Kwamba wengine hawatumii?
Tena itakeketwa hadharaniAmechelewa, KESHO NA ALHAMISI NI JANDO...Nchi itakeketwa, poleni sana Watz
Huyo ni pipa na mfuniko na hao chawa wengineAna tofauti gani na hao?
Inakeketwa na kupakwa pilipili na chumvi..upo hapo?Tena itakeketwa hadharani
Mimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi
Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu.
Hata hao CHADEMA waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Kwa masikitiko makubwa, Pascal ameingia kwenye kundi la wajinga,akina Johnthebabtist, choice variable,chawakipofu tlaatlah,kiparakipya ,Lucas Mwanshambwa.Kiwango cha elimu na uelewa aliokuwanao hakustahili kuwepo kwenye kundi hili,lakini sasa ameamua kwa makusudi kufumbia macho uovu unaoendelea.Ningekuwa Makalla wewe ndo ningekulipa posho wanazolipwa majinga kina Lucas Mwashamba Tlaatha, choice variables, Pascal Mayalla na wengineo.
Wewe ni mwana CCM pekee kwa sasa hapa JF unayetumia akili zako vizuri.
Sijui kwa nini Samia hakujifunza kitu kutokana na kesi ya mchongo wa ugaidi aliyomfungulia Freeman Mbowe akaishia kuvuna aibu. Ni kosa kubwa kurudia kosa.Kesi ambayo ni uzao wa maneno ya mtu, uchunguzi haujakamilika kwa zaidi ya mwezi, wenzako wamekurupuka!
Inasikitisha sana mtu aliyekuwa anaheshimika kuamua yeye mwenyewe kuivua heshima hiyo.Kwa masikitiko makubwa, Pascal ameingia kwenye kundi la wajinga,akina Johnthebabtist, choice variable,chawakipofu tlaatlah,kiparakipya ,Lucas Mwanshambwa.Kiwango cha elimu na uelewa aliokuwanao hakustahili kuwepo kwenye kundi hili,lakini sasa ameamua kwa makusudi kufumbia macho uovu unaoendelea.
Pascal ni zaidi ya chawa.Anaua na kudidimiza juhudi za mageuzi kwa kutumia kalamu yake.Kwamba ndugu yangu Paskali analipwa posho? Haha mtake Radhi
Sijui kwa nini Samia hakujifunza kitu kutokana na kesi ya mchongo wa ugaidi aliyomfungulia Freeman Mbowe akaishia kuvuna aibu. Ni kosa kubwa kurudia kosa.
Data offMkuu nitajie mwana CCM yoyote hapa JF anayetumia akili.
Wapo akina Figganiga, Britanicca, Pascal MayallaMkuu nitajie mwana CCM yoyote hapa JF anayetumia akili.