Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
Mnavopenda kwenda na upepoMimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu. Hata hao Chadema waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Si CCM mmekubaliana na Zitto kumpa Ukiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni na wabunge wachache?Nami CCM kindaki ndaki nataka hivyo ili Uchaguzi uwe na hamasa,,kiukweli Uchaguzi bila Hawa watani hautanoga..
Hii Kesi waiteme tu wanaisumbua mahakama bila sababuMimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi
Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu.
Hata hao CHADEMA waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Bora useme ukweli tu hakuna kupinda pindaNami CCM kindaki ndaki nataka hivyo ili Uchaguzi uwe na hamasa,,kiukweli Uchaguzi bila Hawa watani hautanoga..
Kwamba wengine hawatumii?Wewe ni mwana CCM pekee kwa sasa hapa JF unayetumia akili zako vizuri.
Wanatumia makalio kufikiriKwamba wengine hawatumii?
๐ฏ%Hii Kesi waiteme tu wanaisumbua mahakama bila sababu
Sio jumuia ya Kimataifa kaka ni Uweza wa Mungu upitao wafalme wote mbinguni na duniani.Huu uzi wa pili kuhusu kuachiwa Lissu. Na wanaoandika wote ni watu wa CCM. Inaelekea CCM wameanza kuogopa. Wanajua muziki wa jumuiya za kimataifa.
Na imeshatuchafua kwelikweli!Mimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi
Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu.
Hata hao CHADEMA waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Haa haa๐๐๐ acha nicheke mie...Ningekuwa Makalla wewe ndo ningekulipa posho wanazolipwa majinga kina Lucas Mwashamba Tlaatha, choice variables, Pascal Mayalla na wengineo.
Wewe ni mwana CCM pekee kwa sasa hapa JF unayetumia akili zako vizuri.
Sio jumuia ya Kimataifa kaka ni Uweza wa Mungu upitao wafalme wote mbinguni na duniani.
Sisi tumemuombea Tundu Lissu anayemwokoa ni Yesu
๐๐๐kwanini umenichekesho hiviHaa haa๐๐๐ acha nicheke mie...
Umempa credit asizostahili huyu Mwana kondoo 2025...
Hawa kijani yapo kama kama nguruwe hivi. Unamsafisha sasa, baada ya muda kidogo anakunyea...
Usije kukuta ndiyo maakina Tlaatlaah au ChoiceVariable au kipara kipya au Shotocan au Lucas Mwashambwa aliyeingia humu kwa ID nyingine tu...
These guys are so disgusting, conic and hypocrites ambao ktk public yanampamba kweli Chura Kiziwi ili mradi yanapata ujira wa udhalimu unaonuka damu na mateso ya Watanganyika wenzao..
Lakini yakibaki peke yao kwenye vyumba vyao nafsi na dhamiri zinawasuta na kuwauma kweli kwa sababu yanajua fika kuwa yanatenda makosa...!!
Mkuu hii iko hivi,hii kesi ni mkakati mahsusi wa wapinzani wa Samia ndani ya CCM kumharibia, kila mwenye akili analiona hili nashangaa kwa nini SamiaMimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi
Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho majadiriano ya wadau yafanyike haraka kuweka mazingira bora ya uchaguzi mwaka huu.
Hata hao CHADEMA waruhusiwe wakitaka tupambane wasipate kisingizio kuwa tuliwaogopa tukawafanyia mtimanyongo. Mama atawaburuza tu kwa uchaguzi wa haki
Daaah!! Hadi mayalla umemuweka kundi la kina mwashambwa๐ญ๐ญ๐ญNingekuwa Makalla wewe ndo ningekulipa posho wanazolipwa majinga kina Lucas Mwashamba Tlaatha, choice variables, Pascal Mayalla na wengineo.
Wewe ni mwana CCM pekee kwa sasa hapa JF unayetumia akili zako vizuri.
Amechelewa, KESHO NA ALHAMISI NI JANDO...Nchi itakeketwa, poleni sana WatzMimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi