Kesi ya Lissu kama haina ushahidi thabiti basi haina Maslahi ipigwe Nolle prosequi isituchafue kama nchi

😀😀😀kwanini umenichekesho hivi
Yes, vijana wa CCM ni wanafiki mno...

Yanapenda kujipatia ujira wa udhalimu kwa kuwa wamejiba "ukuwadi" wa udhalimu...

Wanafahamu fika huyo mama yao a.k.a Chura Kiziwi is unfit kwenye nafasi hiyo ya uongozi...

Lakini kwa kuwa wanalipwa kwa kujiliza kwenye msiba, they don't care...

Lakini wanapokuwa peke yao katika akili zao za kawaida na za kibinadamu, obvious huwa wanaumia na kujuta sana ktk dhamiri na nafsi zao...!!
 
Hatuchethi tena
 
Kwa tume inayo jifungia ambavyo haitaki maoni ya wananchi swali fikirishi tume ya wananchi inatakiwa iweje
 
Hii Kesi waiteme tu wanaisumbua mahakama bila sababu
Ikiiendelea watakuja kubanangana Mahakamani wenyewe

Murilo ataulizwa umri na Cheo aonyeshe na MKATABA wakuwepo Ofisini?
Tutaona maajabu ya uwepo wake pale!!

Huyu Lisu ni mpango wa Mungu tutafunuliwa vitu vingi tusivyovijuwa ukweli utakuwa Wazi
 
Ningekuwa Makalla wewe ndo ningekulipa posho wanazolipwa majinga kina Lucas Mwashamba Tlaatha, choice variables, Pascal Mayalla na wengineo.

Wewe ni mwana CCM pekee kwa sasa hapa JF unayetumia akili zako vizuri.

Kwamba ndugu yangu Paskali analipwa posho? Haha mtake Radhi
 
Anguko fulani linapojili, mhusika huwa hasikii wokovu!
 

Kesi ambayo ni uzao wa maneno ya mtu, uchunguzi haujakamilika kwa zaidi ya mwezi, wenzako wamekurupuka!
 
Ningekuwa Makalla wewe ndo ningekulipa posho wanazolipwa majinga kina Lucas Mwashamba Tlaatha, choice variables, Pascal Mayalla na wengineo.

Wewe ni mwana CCM pekee kwa sasa hapa JF unayetumia akili zako vizuri.
Kwa masikitiko makubwa, Pascal ameingia kwenye kundi la wajinga,akina Johnthebabtist, choice variable,chawakipofu tlaatlah,kiparakipya ,Lucas Mwanshambwa.Kiwango cha elimu na uelewa aliokuwanao hakustahili kuwepo kwenye kundi hili,lakini sasa ameamua kwa makusudi kufumbia macho uovu unaoendelea.
Ushauri muhimu kwako kaka yangu PASCAL MAYALA.Sasa hivi nchi iko inaandika historia ya mageuzi,kutoka utawala dhalimu wa ccm kwenda utawala utakaoheshimu sheria na haki za raia.You are on the wrong side of history.CCM haitatawala milele kama unavyowaaminisha watu,bali historia yako ndiyo itadumu milele kupitia maandishi yako.Wewe,Deo Balile,Maulidi kitenge na chawa wengine mtakumbukwa kama waandishi waliokwamisha mageuzi.
 
Inasikitisha sana mtu aliyekuwa anaheshimika kuamua yeye mwenyewe kuivua heshima hiyo.
 
Sijui kwa nini Samia hakujifunza kitu kutokana na kesi ya mchongo wa ugaidi aliyomfungulia Freeman Mbowe akaishia kuvuna aibu. Ni kosa kubwa kurudia kosa.

Naona kama wanampotosha kwa Makusudi, maana Sina lingine la kuwaza, wameingia kwenye mtego wq hovyo sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…