Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 7,148 Reaction score 13,108 May 7, 2025 #61 LIMBOMAMBOMA said: Mama muda wote anapiga kampeni, Sijui hata tume wakitangaza kuanzia kampeni itakuwa na maana gani Click to expand... ikifika wakati huo wananchi watakuwa weshamchoka kabisaaaaaa!
LIMBOMAMBOMA said: Mama muda wote anapiga kampeni, Sijui hata tume wakitangaza kuanzia kampeni itakuwa na maana gani Click to expand... ikifika wakati huo wananchi watakuwa weshamchoka kabisaaaaaa!
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,507 Reaction score 45,129 May 7, 2025 #62 CCM inaiabisha Tanganyika yetu kwa mataifa.
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 19,034 Reaction score 15,246 May 7, 2025 #63 hata ile "kesi" ya Yesu kristo haikuwa na ushahidi kabisa, sema waliinuliwa mashahidi wa uongo ambao hata walichokuwa wakisema pilato hakuwaelewa! Ila akahukumiwa bila hatia kwa "shinikizo".
hata ile "kesi" ya Yesu kristo haikuwa na ushahidi kabisa, sema waliinuliwa mashahidi wa uongo ambao hata walichokuwa wakisema pilato hakuwaelewa! Ila akahukumiwa bila hatia kwa "shinikizo".
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,586 May 7, 2025 #64 Lord denning said: Ningekuwa Makalla wewe ndo ningekulipa posho wanazolipwa majinga kina Lucas Mwashamba Tlaatha, choice variables, Pascal Mayalla na wengineo. Wewe ni mwana CCM pekee kwa sasa hapa JF unayetumia akili zako vizuri. Click to expand... Duuuuh!
Lord denning said: Ningekuwa Makalla wewe ndo ningekulipa posho wanazolipwa majinga kina Lucas Mwashamba Tlaatha, choice variables, Pascal Mayalla na wengineo. Wewe ni mwana CCM pekee kwa sasa hapa JF unayetumia akili zako vizuri. Click to expand... Duuuuh!