Kesi ya Lissu: Ni bora Serikali wangenyamaza waonekane wajinga kuliko kuongea kuwapa watu ushahidi huo

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Mahakama imekataa kuwa kwenye muonekano wa wajinga.

Sasa tujiulize waziri wa sheria, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa mkoa na Polisi wananchi watawaelewaje.

Sasa Chadema na wananchi wakienda hapohapo mahakamani kwa amani mtawaambia sababu ya wale walio umizwa ilikuwa nini hasa? Serikali imenufaika nini zaidi ya kuumiza watu na kukosa imani zaidi. Kuvunja miguu kijana wa Chadema mwenye miaka 30 maana yake huyo kijana tayari kwa miaka 30 ijayo ni ngumu tena kupata imani kwa serikali.

Tatizo msikofuata sheria na viongozi mkawa makada badala ya kuongoza nchi mnaonekana kama vije wajinga jinga ndiyo wanatuongoza.

Ni bora msingefungua hii kesi ya Lissu maana imeonyesha mapungufu na maovu yote kuanzia utekaji huko Mbeya, uvamizi wa padre, kuwapiga watu wasio ha hatia.

Sasa badala ya kuwazuia imekuwa msaada mkubwa sana kwa agenda ya mabadiliko
 
Sasa Chadema na wananchi wakienda hapohapo mahakamani kwa amani mtawaambia sababu ya wale walio umizwa ilikuwa nini hasa? Serikali imenufaika nini zaidi ya kuumiza watu na kukosa imani zaidi. Kuvunja miguu kijana wa Chadema mwenye miaka 30 maana yake huyo kijana tayari kwa miaka 30 ijayo ni ngumu tena kupata imani kwa serikali. Tatizo msikofuata sheria na viongozi mkawa makada badala ya kuongoza nchi mnaonekana kama vije wajinga jinga ndiyo wanatuongoza. Ni bora msingefungua hii kesi ya Lissu maana imeonyesha mapungufu na maovu yote kuanzia utekaji huko Mbeya, uvamizi wa padre, kuwapiga watu wasio ha hatia. Sasa badala ya kuwazuia imekuwa msaada mkubwa sana kwa agenda ya mabadiliko
mnajiona mmeshinda kesi tayari? mtashangaa matokeo yake hii kes kuisha ni december
 
Siku zote serikali inafeli kwenye kesi
 
Mwanasheria mkuu wa serikali
Waziri wa ulinzi
RC

Wote kimsingi wameoneka wanatatizo kubwa la uelewa ama walifanya tu ilimradi kufurahisha wakubwa.

Kwa kushapaza kule shingo leo wanasimamaje kusema tena jambo fulani mdilo sahihi na wakaaminika?
 
Inaumiza Sana,,Tunahitaji washauri Wazuri wasio na mihemko.Mrilo ajitafakari.
 
Mwanasheria mkuu wa serikali
Waziri wa ulinzi
RC

Wote kimsingi wameoneka wanatatizo kubwa la uelewa ama walifanya tu ilimradi kufurahisha wakubwa.

Kwa kushapaza kule shingo leo wanasimamaje kusema tena jambo fulani mdilo sahihi na wakaaminika?
Mkuu Waziri wa Ulinzi sio mambo yake hayo. Waziri wa Ulinzi anashughulikia usalama wa nchi dhidi ya uvamizi na tishio kutoka nje ya mipaka ya nchi ama tishio au uasi wa vita vya kikundi kutoka ndani.

Labda ulitaka kusema ni Waziri wa Mambo ya Nchi.
 
Ukiwa na washauri mazuzu lazima upotee njia.
downloadfile-1.jpg
 
Mahakama imekataa kuwa kwenye muonekano wa wajinga.

Sasa tujiulize waziri wa sheria, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa mkoa na Polisi wananchi watawaelewaje.

Sasa Chadema na wananchi wakienda hapohapo mahakamani kwa amani mtawaambia sababu ya wale walio umizwa ilikuwa nini hasa? Serikali imenufaika nini zaidi ya kuumiza watu na kukosa imani zaidi. Kuvunja miguu kijana wa Chadema mwenye miaka 30 maana yake huyo kijana tayari kwa miaka 30 ijayo ni ngumu tena kupata imani kwa serikali. Tatizo msikofuata sheria na viongozi mkawa makada badala ya kuongoza nchi mnaonekana kama vije wajinga jinga ndiyo wanatuongoza. Ni bora msingefungua hii kesi ya Lissu maana imeonyesha mapungufu na maovu yote kuanzia utekaji huko Mbeya, uvamizi wa padre, kuwapiga watu wasio ha hatia. Sasa badala ya kuwazuia imekuwa msaada mkubwa sana kwa agenda ya mabadiliko
Serikali ina kichwa kipumbavu. Kama kichwa ni kipumbavu, kiwiliwili hakiwezi kuwa smart!
 
Mahakama imekataa kuwa kwenye muonekano wa wajinga.

Sasa tujiulize waziri wa sheria, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa mkoa na Polisi wananchi watawaelewaje.

Sasa Chadema na wananchi wakienda hapohapo mahakamani kwa amani mtawaambia sababu ya wale walio umizwa ilikuwa nini hasa? Serikali imenufaika nini zaidi ya kuumiza watu na kukosa imani zaidi. Kuvunja miguu kijana wa Chadema mwenye miaka 30 maana yake huyo kijana tayari kwa miaka 30 ijayo ni ngumu tena kupata imani kwa serikali.

Tatizo msikofuata sheria na viongozi mkawa makada badala ya kuongoza nchi mnaonekana kama vije wajinga jinga ndiyo wanatuongoza.

Ni bora msingefungua hii kesi ya Lissu maana imeonyesha mapungufu na maovu yote kuanzia utekaji huko Mbeya, uvamizi wa padre, kuwapiga watu wasio ha hatia.

Sasa badala ya kuwazuia imekuwa msaada mkubwa sana kwa agenda ya mabadiliko
Ukiwa na washauri mazuzu lazima upotee njia.
View attachment 3326222
Nje ya mada, huyu jamaa kabila gani? Tunaukuzana ili tutaniane-JK Nyerere
 
mnajiona mmeshinda kesi tayari? mtashangaa matokeo yake hii kes kuisha ni december
Hata ikiwa mwakani, chadema mpaka sasa haina cha kupoteza, kama ni uchaguzi bila reforms hawaingii kwenye uchaguzi by way nwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana.

Huko Bunge la Ulaya wanakaba kwa juu,

Icc kuna watu wataenda tu wapende wasipende. na mziki wa kule aulizwe Kinyatta.

Hii ngoma ni Ngumu, leo utaingiaje kwenye uchaguzi alafu ujitangaze labda kama tz sio sehem ya Dunia hii.

Wengi wana sema Mbona M7, kagame amefanya hivi hakuna chochote.

Jibu wenda wamekua wakikutana na wagombea ambao hawajajijenga kitaifa, kimataifa ,lissu ni moto mwingine ,kuna watu sio wakugusa hovyo hovyo.

Na kwa bahati anachokipigania kama ccm smart kingeweza kuwajengea imani kubwa labda kiasi kwa wananchi
 
Mahakama imekataa kuwa kwenye muonekano wa wajinga.

Sasa tujiulize waziri wa sheria, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa mkoa na Polisi wananchi watawaelewaje.

Sasa Chadema na wananchi wakienda hapohapo mahakamani kwa amani mtawaambia sababu ya wale walio umizwa ilikuwa nini hasa? Serikali imenufaika nini zaidi ya kuumiza watu na kukosa imani zaidi. Kuvunja miguu kijana wa Chadema mwenye miaka 30 maana yake huyo kijana tayari kwa miaka 30 ijayo ni ngumu tena kupata imani kwa serikali.

Tatizo msikofuata sheria na viongozi mkawa makada badala ya kuongoza nchi mnaonekana kama vije wajinga jinga ndiyo wanatuongoza.

Ni bora msingefungua hii kesi ya Lissu maana imeonyesha mapungufu na maovu yote kuanzia utekaji huko Mbeya, uvamizi wa padre, kuwapiga watu wasio ha hatia.

Sasa badala ya kuwazuia imekuwa msaada mkubwa sana kwa agenda ya mabadiliko

Hakuna Cha UHAINI wowote!

Kesi hii imefunguliwa kimkakati ili kumhangaisha Tundu Lisu pamoja na CHADEMA yake ili kuwatoa kwenye reli katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba Mwaka huu 2025
 
Back
Top Bottom