Labda ana k2 anapuliza. Anasemwa kw xana, analaumiwa kw xana anatexa kw xana nakutuhumiwa kw xana lkn yupo!! Haya mauteuzi yote, lkn hahusishwi!! Ama kweli anapendwa - bila shaka ni matendo yake ...au?Ukiwa na washauri mazuzu lazima upotee njia.
View attachment 3326222
Huyu naye arudishwe kule hifadhi ya Gombe akale mizizi na matunda pori.Ukiwa na washauri mazuzu lazima upotee njia.
View attachment 3326222
Hata isipoisha.mnajiona mmeshinda kesi tayari? mtashangaa matokeo yake hii kes kuisha ni december
Kunyanyasw na kudhuru, (kuumiza), watuHatuongelei kesi hapa bado tunaongelea kuzuia watu na kunyanyasa watu bila sababu.
hasara ya kuongozwa na watu wenye shule za kunga ungaHata ikiwa mwakani, chadema mpaka sasa haina cha kupoteza, kama ni uchaguzi bila reforms hawaingii kwenye uchaguzi by way nwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana.
Huko Bunge la Ulaya wanakaba kwa juu,
Icc kuna watu wataenda tu wapende wasipende. na mziki wa kule aulizwe Kinyatta.
Hii ngoma ni Ngumu, leo utaingiaje kwenye uchaguzi alafu ujitangaze labda kama tz sio sehem ya Dunia hii.
Wengi wana sema Mbona M7, kagame amefanya hivi hakuna chochote.
Jibu wenda wamekua wakikutana na wagombea ambao hawajajijenga kitaifa, kimataifa ,lissu ni moto mwingine ,kuna watu sio wakugusa hovyo hovyo.
Na kwa bahati anachokipigania kama ccm smart kingeweza kuwajengea imani kubwa labda kiasi kwa wananchi
Mahakama imekataa kuwa kwenye muonekano wa wajinga.
Sasa tujiulize waziri wa sheria, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa mkoa na Polisi wananchi watawaelewaje.
Sasa Chadema na wananchi wakienda hapohapo mahakamani kwa amani mtawaambia sababu ya wale walio umizwa ilikuwa nini hasa? Serikali imenufaika nini zaidi ya kuumiza watu na kukosa imani zaidi. Kuvunja miguu kijana wa Chadema mwenye miaka 30 maana yake huyo kijana tayari kwa miaka 30 ijayo ni ngumu tena kupata imani kwa serikali.
Tatizo msikofuata sheria na viongozi mkawa makada badala ya kuongoza nchi mnaonekana kama vije wajinga jinga ndiyo wanatuongoza.
Ni bora msingefungua hii kesi ya Lissu maana imeonyesha mapungufu na maovu yote kuanzia utekaji huko Mbeya, uvamizi wa padre, kuwapiga watu wasio ha hatia.
Sasa badala ya kuwazuia imekuwa msaada mkubwa sana kwa agenda ya mabadiliko