The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Sijui kama wana akili za kukuelewa hawa...Mahakama imekataa kuwa kwenye muonekano wa wajinga.
Sasa tujiulize waziri wa sheria, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa mkoa na Polisi wananchi watawaelewaje.
Sasa Chadema na wananchi wakienda hapohapo mahakamani kwa amani mtawaambia sababu ya wale walio umizwa ilikuwa nini hasa? Serikali imenufaika nini zaidi ya kuumiza watu na kukosa imani zaidi. Kuvunja miguu kijana wa Chadema mwenye miaka 30 maana yake huyo kijana tayari kwa miaka 30 ijayo ni ngumu tena kupata imani kwa serikali.
Tatizo msikofuata sheria na viongozi mkawa makada badala ya kuongoza nchi mnaonekana kama vije wajinga jinga ndiyo wanatuongoza.
Ni bora msingefungua hii kesi ya Lissu maana imeonyesha mapungufu na maovu yote kuanzia utekaji huko Mbeya, uvamizi wa padre, kuwapiga watu wasio ha hatia.
Sasa badala ya kuwazuia imekuwa msaada mkubwa sana kwa agenda ya mabadiliko
Watakuja wapiga zumari wao humu kina Tlaatlaah, kipara kipya, Mtoto wa Shule, Lucas Mwashambwa, Pascal Mayalla wataugeuza ujinga wao miguu juu kichwa chini na kuanza kumsifu Chura Kiziwi...
Yaani haya majamaa hayaoni kabisa kuwa Watanzania siku nyingi walishatambua ujinga na upumbavu wao. Lakini, kama mazuzu vile hutembea barabarani kuutetea ujinga wao...
That's too bad for them..
Ndugu Kamundu, trust me, hawa, jamaa hawana pa kutokea safari hii. Wamekabwa kila engo..
Majira na nyakati za ujinga na upumbavu wao haziko nao tena...
They've conceded the defeat long time ago. Walichofanya ni kuomba msaada wa polisi na matokeo yake ni hayo......EXPOSURE OF FOOLISHNESS and IGNORANCE of our Police Force (TANPOL)...
Mimi nina uhakika kabisa Afande Muliro na RC Chalamila wanapata shida sana na sekeseke hizi wanazozianzisha wenyewe kijinga na kipumbavu. Hawa sidhani hata kama huwa wanapata usingizi usiku wanapokuwa wamelala...
Hawa nakuhakikishia watakufa kabla ya wakati wao iwapo hawataacha kucheza na uhai na maisha ya watu...!