Kesi ya Lissu Septemba 10, 2026: IGP Wambura, DCI Kingai na CDF Mkunda waitwa kutoa ushahidi

Ukweli ndiyo huo.Ustaarabu unahitajika.
 
Tunatakiwa tuwe na nchi moja yenye Serikali moja au tatu.Hayo mabaraza hayana faida yoyote kwa Watanzania wote bali ni maslahi ya watu wachache.
Hilo lililoitwa baraza la usimamizi wa taifa ni muhimili kamili kama ilivyo serikali, bunge au mahakama.

Hivyo ili ulielewe kiundani nakuelekezesha kwenye ibara ya 98 mbaka 116 ya rasimu hiyo ya katiba
 
Sawa lakini msisitizo uwe tuwe na nchi moja yenye serikali moja ili kuweka mambo sawa.Na kama si hivyo inatakiwa tuwe na Serikali tatu.
 
wali
 
Mkuu mimi naona hao wambea ndo wako juu na umesema hao wawili huwategemea wambea. Usalama wa nchi unategemea taarifa nyeti. Hata hapa jf tunatumia ID fake kuwakimbia wambea...huku mtaani watu wanaogopa kujadili jambo nyeti kisa hao wambea na washawachoma wengi sana.
 
Je wanawachoma kwa nani? Sina utaalamu sana ila kwa utafiti wangu nchi zote mapinduzi huwa yanafanywa na jeshi,, na hata hapa nchini Kuna taarifa tulizisikia kuwa baada ya kifo cha JPM bila CDF wajanja wakitaka kumpiga bao samia,,,mkuu muogope sana CDF
 
MiCCM na ushetani wao bado inakomaa na kesi isiyokuwa na kichwa wala miguu.
 
Duh! Hatari sana, ngoja tuone akiwa kizimbani kama shahidi.
 
Sawa lakini msisitizo uwe tuwe na nchi moja yenye serikali moja ili kuweka mambo sawa.Na kama si hivyo inatakiwa tuwe na Serikali tatu.
Pendekezo la katiba lililopo kwenye tovuti ya www.katibampya.com ina muundo wa dola lenye mihimili minne pekee nq huo mubimili wa nne ndio kuna wawakilishi wa tanganyika na zanzibar hivyo basi Rasimu hiyo imeondoa mvutano wa serikali tatu na kuunda serikali moja kisha kuongeza muhimili wa nne wenye dhamana ya usimamizi wa raifa na pande zote za muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…