Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kwa upande mwingine nimewaza kwamba,hao mashahidi wa serikali wengi kama si wote ni wa kuokoteza na ni wa uongo.Sasa,kumpata mtu ajitolee kuongea uongo kunahiraji apate muda wa kupangiwa cha kuongea.Si hivyo tu.Inaonekana hao "mashahidi" wamekuwa aidha hawataki au wanaogopa kusimama kizimbani kuongea ujinga wanaofundishwa.Kitu ambacho inabidi wabembelezwe,kupangwa kiakili na kulipwa fedha au ahadi nono.Yana mwisho mbaya tu.Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Jumatatu, Agosti 17, 2026, baada ya upande wa Jamhuri kuomba muda zaidi kutokana na changamoto za kiafya alizopata shahidi wa 18 aliyepaswa kuanza kutoa ushahidi leo Ijumaa.
Jana, shahidi wa 17 wa upande wa Jamhuri, ambaye utambulisho wake ulihifadhiwa na kutajwa kama ‘P’, alimaliza kutoa ushahidi wake. Miongoni mwa mambo aliyoyaeleza ni namna alivyoshiriki kama mwandishi wa habari katika kuripoti mkutano wa CHADEMA uliofanyika Aprili 3, 2025.
Upande wa Jamhuri umeieleza Mahakama kuwa shahidi wa 18 amepata changamoto za kiafya, hivyo kuomba kesi hiyo iahirishwe.
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, imekubali ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Jumatatu, Agosti 17, 2026.
Upande wa Jamhuri umeahidi kwamba Jumatatu utawaleta mashahidi wote waliobaki ili kuendelea na ushahidi wa upande wa mashtaka.
Bila kumsahau Lukas wa Mbozi!Bwahaaaa bwahaaaaa 🤣🤣 nimecheka kwa nguvu ile mbaya. Juzi nilisema kwa ujumla Lisu alishawshinda toka mwaka jana kwenye hiyo kesi. Hata kuipeleka mahakama ya rufaani ilikuwa ni kuficha aibu ya kushindwa. Na nilisema wameurudisha mahakama kuu lakini kiukweli ni kuwa Lisu kawashinda tayari, na serekali haina pumzi tena
Ukweli ni kuwa mashahidi hawataki tena, hata yule shahidi wa juzi waliyekuwa wanamtegemea aliishia kudhalilika, na yule wa jana alikubali kwa shingo upande kupanda kizimbani. Hakuna kitu kigumu kama kupambana na mtu wa haki. Machawa wote najua watakuwa wanaona aibu na fedheha kwa wakati mmoja.
Tlaatlaah
Jamaa ni goat kwenye SHERIA 😁Iko wazi, hawa mashahidi huwa wanashikwa na panic attack wakisikia jina la Lissu.
Kutoa ushahidi wa uongo,ili mwenzio anyongwe,ndoto Zako lazima uingie mitini huko!Jamaa ni goat kwenye SHERIA 😁
Shahidi inabidi awe kavaa pampasi kwenye kesi ya mchongo kama hii mbele ya lisu
Kosa analotuhumiwa nalo HALINA dhamana. Hivyo, atakaa ndani hadi atakapohukumiwa kunyongwa hadi kufa!huu ni upumbavu sasa, kama vipi mtuhumiwa awe anatokea nyumbani kwake basi......!!! wanafanya kama kamchezo hivi as if huko jera anakorudishwa ni dubai.
kesi itaendelea wakati mwingine kwasababu za kiafya kwa shahidi wa siku. Unacheka nini kwa mfano kama sio unafiki tu gentleman?Jamani, nimecheka sana kwa kweli! Nilisema hapa hapa juzi kwamba kwa ujumla, Lisu alishawashinda tangu mwaka jana kwenye kesi hii. Na hata kuipeleka Mahakama ya Rufaa ilionekana kama jaribio la kufunika ukweli wa kushindwa mapema. Nilisema pia kuwa ingawa wameirudisha Mahakama Kuu, ukweli unabaki kuwa Lisu ameshawashinda, na sasa serikali haina tena nguvu ya kuendeleza mbinu zao.
Ukweli ni kwamba, sasa mashahidi wenyewe wanaonekana kutokuwa tayari kutoa ushahidi. Hata yule shahidi waliyekuwa wanamtegemea sana juzi, aliishia kupata aibu na kudhalilika mahakamani. Na yule wa jana, alilazimika kukubali kupanda kizimbani kwa shingo upande tu. Hakika, hakuna jambo gumu kama kupambana na mtu anayesimamia haki. Wale wote waliokuwa wakiunga mkono upande mwingine, nina uhakika wanajisikia aibu na fedheha kwa wakati mmoja.
Tlaatlaah Stuxnet ChoiceVariable mdogoee Mtoto wa Shule Stroke MamaSamia2025
Mashahidi wanatakiwa wawe zaidi ya mmoja kila siku kwenye hiyo mahakama kibogoyo. Matatizo gani ya kiafya? Vilaza wa jamuhuri wanazidi kufanya mahakama ionekane ni kichekesho tu. Mwambie Samia atumie tu ile mbinu ya Magu ya risasi, hiyo ya kubambikia kesi, na hao wanasheria vilaza wa serekali wataishia kukimbia tu kesi.kesi itaendelea wakati mwingine kwasababu za kiafya kwa shahidi wa siku. Unacheka nini kwa mfano kama sio unafiki tu gentleman?
yaani kipi cha ajabu hapo,
au kipi cha kushangaza kwenye jambo la kawaida kama hilo?
unaelewa kuna mambo ikiwa huna uelewa au ufahamu wa kutosha juu yake, na unaendekeza hisia potofu, ni vizuri kukaa kimya tu na itapendeza 🐒
wanataka kuikimbia kesi na jamaa amewakaba koo kwelikweli hawana mahala pa kupumulia.Mambo ya Nolle presque
mashoga yameanza kukimbia kutoa ushahidi baada ya kuona moto wa wanaume halisi, na bado heche peleka moto nje na lissu peleka moto mahakamani mpaka waharishe hao mashoga.kesi itaendelea wakati mwingine kwasababu za kiafya kwa shahidi wa siku. Unacheka nini kwa mfano kama sio unafiki tu gentleman?
yaani kipi cha ajabu hapo,
au kipi cha kushangaza kwenye jambo la kawaida kama hilo?
unaelewa kuna mambo ikiwa huna uelewa au ufahamu wa kutosha juu yake, na unaendekeza hisia potofu, ni vizuri kukaa kimya tu na itapendeza 🐒
Mazafakas wanabumba case halafu inawashinda!Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Jumatatu, Agosti 17, 2026, baada ya upande wa Jamhuri kuomba muda zaidi kutokana na changamoto za kiafya alizopata shahidi wa 18 aliyepaswa kuanza kutoa ushahidi leo Ijumaa.
Jana, shahidi wa 17 wa upande wa Jamhuri, ambaye utambulisho wake ulihifadhiwa na kutajwa kama ‘P’, alimaliza kutoa ushahidi wake. Miongoni mwa mambo aliyoyaeleza ni namna alivyoshiriki kama mwandishi wa habari katika kuripoti mkutano wa CHADEMA uliofanyika Aprili 3, 2025.
Upande wa Jamhuri umeieleza Mahakama kuwa shahidi wa 18 amepata changamoto za kiafya, hivyo kuomba kesi hiyo iahirishwe.
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, imekubali ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Jumatatu, Agosti 17, 2026.
Upande wa Jamhuri umeahidi kwamba Jumatatu utawaleta mashahidi wote waliobaki ili kuendelea na ushahidi wa upande wa mashtaka.
Shahidi wa Jana amewavua nguo wenzakeKwa ule ushahidi wa Jana lazima wakimbie. Shahidi alikubali Kila kitu cha Lissu.
Kwani siku 30 zimepitaWamepuuza maagizo ya Jumuiya ya mwingereza
Vitu vya ajabu kabisaa Kabisaa. Tena vinatokea zama hiziJana Kwa mara ya Kwanza mawakili wa serikali wameshindwa kufanya re-examination Kwa Shahid wao baada ya kuona Hali ya hatari zaidi kama watamuhoji.
Kodi yetu inatumika vibaya sana
Lengo kuu hapo ni kutaka kuwapika hao mashahidi wa mchongo ndani ya hizi siku mbili ili ikifika hiyo Jtatu wajitutumue! Ila mwisho wa siku wataingizwa tu kwenye 18, na kuanza kutoa yale majibu yetu "sijui, hapana, si kweli, kweli, sahihi" , nk.Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Jumatatu, Agosti 17, 2026, baada ya upande wa Jamhuri kuomba muda zaidi kutokana na changamoto za kiafya alizopata shahidi wa 18 aliyepaswa kuanza kutoa ushahidi leo Ijumaa.
Jana, shahidi wa 17 wa upande wa Jamhuri, ambaye utambulisho wake ulihifadhiwa na kutajwa kama ‘P’, alimaliza kutoa ushahidi wake. Miongoni mwa mambo aliyoyaeleza ni namna alivyoshiriki kama mwandishi wa habari katika kuripoti mkutano wa CHADEMA uliofanyika Aprili 3, 2025.
Upande wa Jamhuri umeieleza Mahakama kuwa shahidi wa 18 amepata changamoto za kiafya, hivyo kuomba kesi hiyo iahirishwe.
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, imekubali ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Jumatatu, Agosti 17, 2026.
Upande wa Jamhuri umeahidi kwamba Jumatatu utawaleta mashahidi wote waliobaki ili kuendelea na ushahidi wa upande wa mashtaka.
NdioKwani siku 30 zimepita