Hata ikifika hiyo 2030 bado haitaondoa hii chuki iliyojengwa na hawa wahuni. Wananchi wengi wenye uelewa na pia akili timamu, wanamchukia sana huyu mtawala katili. Hivyo hata afanye nini, chuki dhidi yake haiwezi kuisha.Hii KESI inafika KWELI 2030 kwa style hii ,Hadi hapa naamini HAKI ni ngumu sana Tanzania
Hatuwezi kusikia aibu hadi Jaji atoe hukumu. Usijidanganye na hivyo viswali vya kukejeli na kukera kutoka kwa mtuhumiwa.Jamani, nimecheka sana kwa kweli! Nilisema hapa hapa juzi kwamba kwa ujumla, Lisu alishawashinda tangu mwaka jana kwenye kesi hii. Na hata kuipeleka Mahakama ya Rufaa ilionekana kama jaribio la kufunika ukweli wa kushindwa mapema. Nilisema pia kuwa ingawa wameirudisha Mahakama Kuu, ukweli unabaki kuwa Lisu ameshawashinda, na sasa serikali haina tena nguvu ya kuendeleza mbinu zao.
Ukweli ni kwamba, sasa mashahidi wenyewe wanaonekana kutokuwa tayari kutoa ushahidi. Hata yule shahidi waliyekuwa wanamtegemea sana juzi, aliishia kupata aibu na kudhalilika mahakamani. Na yule wa jana, alilazimika kukubali kupanda kizimbani kwa shingo upande tu. Hakika, hakuna jambo gumu kama kupambana na mtu anayesimamia haki. Wale wote waliokuwa wakiunga mkono upande mwingine, nina uhakika wanajisikia aibu na fedheha kwa wakati mmoja.
Tlaatlaah Stuxnet ChoiceVariable mdogoee Mtoto wa Shule Stroke MamaSamia2025
Itakua kubwa zaidi,kila mtu anaona kuwa jamaa anaonewa anateswaHata ikifika hiyo 2030 bado haitaondoa hii chuki iliyojengwa na hawa wahuni. Wananchi wengi wenye uelewa na pia akili timamu, wanamchukia sana huyu mtawala katili. Hivyo hata afanye nini, chuki dhidi yake haiwezi kuisha.
Yaani kesi ya uhaini serikali inashindwa kuwa na mashahidi wa kutosha.Hiyo idara ya usalama imejaa vilaza sana aisee.kesi itaendelea wakati mwingine kwasababu za kiafya kwa shahidi wa siku. Unacheka nini kwa mfano kama sio unafiki tu gentleman?
yaani kipi cha ajabu hapo,
au kipi cha kushangaza kwenye jambo la kawaida kama hilo?
unaelewa kuna mambo ikiwa huna uelewa au ufahamu wa kutosha juu yake, na unaendekeza hisia potofu, ni vizuri kukaa kimya tu na itapendeza 🐒
Hii kesi ikiwahi kuisha ni 2030 NovemberKesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Jumatatu, Agosti 17, 2026, baada ya upande wa Jamhuri kuomba muda zaidi kutokana na changamoto za kiafya alizopata shahidi wa 18 aliyepaswa kuanza kutoa ushahidi leo Ijumaa.
Jana, shahidi wa 17 wa upande wa Jamhuri, ambaye utambulisho wake ulihifadhiwa na kutajwa kama ‘P’, alimaliza kutoa ushahidi wake. Miongoni mwa mambo aliyoyaeleza ni namna alivyoshiriki kama mwandishi wa habari katika kuripoti mkutano wa CHADEMA uliofanyika Aprili 3, 2025.
Upande wa Jamhuri umeieleza Mahakama kuwa shahidi wa 18 amepata changamoto za kiafya, hivyo kuomba kesi hiyo iahirishwe.
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, imekubali ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Jumatatu, Agosti 17, 2026.
Upande wa Jamhuri umeahidi kwamba Jumatatu utawaleta mashahidi wote waliobaki ili kuendelea na ushahidi wa upande wa mashtaka.
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Jumatatu, Agosti 17, 2026, baada ya upande wa Jamhuri kuomba muda zaidi kutokana na changamoto za kiafya alizopata shahidi wa 18 aliyepaswa kuanza kutoa ushahidi leo Ijumaa.
Jana, shahidi wa 17 wa upande wa Jamhuri, ambaye utambulisho wake ulihifadhiwa na kutajwa kama ‘P’, alimaliza kutoa ushahidi wake. Miongoni mwa mambo aliyoyaeleza ni namna alivyoshiriki kama mwandishi wa habari katika kuripoti mkutano wa CHADEMA uliofanyika Aprili 3, 2025.
Upande wa Jamhuri umeieleza Mahakama kuwa shahidi wa 18 amepata changamoto za kiafya, hivyo kuomba kesi hiyo iahirishwe.
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, imekubali ombi hilo na kuahirisha kesi hadi Jumatatu, Agosti 17, 2026.
Upande wa Jamhuri umeahidi kwamba Jumatatu utawaleta mashahidi wote waliobaki ili kuendelea na ushahidi wa upande wa mashtaka.
kwahiyo kuna kitu gani kumeshindikana gentleman kwa mfano?🤣Yaani kesi ya uhaini serikali inashindwa kuwa na mashahidi wa kutosha.Hiyo idara ya usalama imejaa vilaza sana aisee.
Kweli kabisa mkuuShahidi wa Jana amewavua nguo wenzake
Kwa wewe mpaka Sasa umeona ushahidi wowote wa uhaini.Hatuwezi kusikia aibu hadi Jaji atoe hukumu. Usijidanganye na hivyo viswali vya kukejeli na kukera kutoka kwa mtuhumiwa.
Mahakama imewapa amri mawakili wa serikali waje na mashahidi zaidi ya mmoja kila siku ya kesi.Kweli kila siku ni kuomba kuahirisha kisa mashahidi wa kusuasua kwenye kesi ya uhaini.qkwahiyo kuna kitu gani kumeshindikana gentleman kwa mfano?🤣
Gentleman,Mahakama imewapa amri mawakili wa serikali waje na mashahidi zaidi ya mmoja kila siku ya kesi.Kweli kila siku ni kuomba kuahirisha kisa mashahidi wa kusuasua kwenye kesi ya uhaini.q
Nakwambia hukumu inaendana na ushahidi, labda hukumu inayoandikwa na rais ndio itakuwa kinyume na ushahidi. Hizo hukumu zinazoendana kinyume na ushahidi ndio zinazosababisha wawekezaji hawako tayari kutumia mahakama zetu za ndani kwa mashauri yako. Hakuna lolote litakalotushangaza iwapo hukumu itaendana na utashi wa rais na sio ushahidi wa mahakamani, maana alitangazwa kupata kura 31m, idadi ambayo haikuendana na wapiga kura vituoni.Hatuwezi kusikia aibu hadi Jaji atoe hukumu. Usijidanganye na hivyo viswali vya kukejeli na kukera kutoka kwa mtuhumiwa.
HapanaNdio
Jana shahidi anaishia kukubali kila kitu anachoulizwa na lissuKosa analotuhumiwa nalo HALINA dhamana. Hivyo, atakaa ndani hadi atakapohukumiwa kunyongwa hadi kufa!
Hakuna kesi walioshtaki hakuna kitu cha maana kwenye ushahidi wao wanapeleka nashangaa hata hao majaji wanasikiliza nini aisee..Hii KESI inafika KWELI 2030 kwa style hii ,Hadi hapa naamini HAKI ni ngumu sana Tanzania