Kesi ya Lissu: Shahidi wa 18 akwamisha kesi yaahirishwa hadi Agosti 17, 2026

Mkuu tuwekee na maelezo ya TAL akipinga hairisho ili kubalance andiko.
 
Yaani kesi ya uhaini serikali inashindwa kuwa na mashahidi wa kutosha.Hiyo idara ya usalama imejaa vilaza sana aisee.
Idara ya usalama ilikuwa bora mwisho ilikuwa 2015, after that kilichofuata marehem aliondoa potential people akajazaa vijana wa chama bila hata kizingatia vigezo

Matokeo yake taasis inaonekana kituko
 
Yani ni hivi nikusaidie. Mahali popote kweli huwa inajibeba yenyewe.
Hii ni sehemu ya aya ya 81 katika Surat Al-Isra ya Qur'ani Tukufu: "Wa qul jaa al-haqqu wa zahaqa al-batilu inna al-batila kana zahooqa". Maana yake ni: "Na sema: Ukweli umefika, na uwongo umezowolewa (umeangamia). Hakika uwongo ni wenye kuangamia. Mahali popote ndugu shahidi.duniani ikiwa tu unachokisema ni batili au uongo ujue hautofanikiwa. Simamia kweli
 
MaCCM yanatumia kila mbinu chafu ili kumfanya Tundu Lissu aendelee kusota mahakamani bila sababu za msingi. Mashetani wakubwa....mtakuja kufa huku mmetia kidole makalioni mwenu!
 
Itawezekanaje Mashahidi 13 wote waliobaki wafike siku hiyo na waweze kuongozwa maswali kisha waulizwe na mtuhumiwa! au ni lugha ya mafumbo kuwa hiyo J3 ya tarehe 17 ndiyo mwisho wa aidha kesi yenyewe au ushahidi kuelekea kumalizika kwa kesi?

Maana kama kungekuwa na ushahidi mzito wa maana hawawezi kuja kwa wingi huo.

Haya ngoja tunywe mtori nyama tutazikuta chini.
 
Hivi kwenye hii kesi jamhuri ina mashahidi wangapi.?
 
Gentleman,
ikiwa kwako ushahidi ni bora kuliko afya, basi endelea kuipa kipaumbele iphone new model, huku ukipuuza bima ya afya ya laki1 tu🐒
Nchi masikini matibabu yapo juu sana hiyo Bima ya afya ni muhimu kwa wote..
 
Lissu atakutwa na kesi ya kujibu
Namshauri ajipange kujitetea vizuri, vinginevyo itakula kwake.
 
Sawa Samiah tumekusikia. Maana umejaa roho mbaya ya Iblis
Sina roho mbaya mkuu ila nimefikia kwenye hiyo conclusion baada ya kusoma jinsi prosecution walivyoweza kujenga hoja zao leo kwenye submission kwamba Lissu anayo kesi ya kujibu na nikijuwa kwamba mahakama zetu haziko huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…