Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu mna wasiwasi sana. Liyumba haendi kokote na kizimbani atasimama si masaa mengi yajayo. Kumekuwepo na massive manhunt na vyanzo vya uhakika vinadokeza jamaa atakuwa amedakwa usiku huu kama mtego walioutega utafanikiwa kwani intel yote ilikuwa inaonesha jamaa yupo bado Dar! So.. subirini mahakamani leo... maana wakimkosa leo basi ndiyo watafute shimo kama la Sadam au waende kwenye mapango ya Tora Bora!
Bi hadija alipaswa ku seek technical advise toka jaji wake incharge baada ya kugundua makosa aliyoyafanya, hakufanya siku hiyohiyo, aliondoka zake na kuzima simu mpaka media ilipomuandama na mahakama kuu nayo kuliona hilo haraka, next day akatoa arrest warranty na ku detain wadhamini, tukiri tu kuwa amechemsha sana na wala wanasiasa wasiingizwe hapo.
lLiumba ni core center ya saga zima la BoT, ukiweka ndani Liumba umewaacha uchi mafisadi wengi tuu. So, who knows labda Liumba katekwa in the form of Mafia style? Hahahahaha, haya ni mambo ya kawaida kabisa kwenye panzi scum....Yaani saga la BoT ni kama DeJa Vu, Balali alikwenda kutubiwa mara akafa mara mazishi private, tukaenda jeneza halikufunguliwa..... Ken Lay style baby.
Sasa kuhusu Liumba goodluck na kumsaka... Yaani hapo ndio utajua kwamba Legal system doesnt work all the time... Na system ya usalama ya Tanzania ilivyokuwa mbovu, Liumba anaweza kuwa kwa kimada wake hapo hapo Kigogo dar na msimkate.
... Liumba kuwa mtaani anazidi kueneza lile gonjwa maana dada zetu nao ni kama vipofu kwa wenye pesa. Akipatikana aishi rumande maisha yote........