Kesi ya Lulu: Mke wa Dr. Slaa asema Kanumba alikuwa na sumu mwilini, upungufu wa hewa na maumivu kwenye ubongo

Huyu ndo wakukamatwa awe mfano wa hawa matapeli wa afya. Sumu gani haziwaui wanakufa na matatizo mengine.
What if tiba ya sumu ndo sumu.
 
Kwa ushahidi huu na utetezi wa lulu mwenyewe huyu mtoto anaweza kuepukana na adhabu ya jela
 
Mbona kama ushahidi uliosomwa upo mbali na Kesi hii? Nilitegemea ushahidi uwe ni wa daktari aliyefanya uchunguzi wa postmortem,ili aje na analysis yake kwa kutuambia kifo cha Kanumba hasa kilisababishwa na kitu gani....kisha mahakama ndio ihusishe ni kwa namna gani chanzo cha kifo hicho kinaweza kumuunganisha au kumuungua Lulu na kosa hili la kuua bila kukusudia.

Kwa maoni yangu huyu mama hakuwa material witness kwenye hii kesi hasa kwa upande wa mashtaka...at least angekuwa ameletwa na upande wa utetezi kidogo tungesema Lulu yupo katika harakati za kuibua shaka katika kesi hii as far as the cause of death is concerned.
 

Mkuu siku nyingine usidandie gari kwa mbele, soma kwanza post za nyuma na "current news"
 
Shomile yupo kazini... Hahaha dah kumbe had mm naweza nikawa na misumu?
 
historia ya afya ya marehemu ni muhinu sana na uyu asingeitoa wala kukubalika kama siyo muhimu mbona mama ake kanumba hajatoa ushaidi
tusubiri tuone mahakama unasemaje ila niulizieni uyu mke wa dr slaa ni Dr au nurse by profesional
 
Mkuu siku nyingine usidandie gari kwa mbele, soma kwanza post za nyuma na "current news"
hahahahaaa,sawa mkuu...nilisoma ila nahisi nili overlook some of information...nashukuru kwa kunirudisha kwenye track!

Ushahidi huu unaweza kuibua shaka kidogo hususani ukiwa utaenda na report ya postmoterm juu ya sababu ya kifo...vyenginevo inaweza kuhisiwa Maza Mushumbusi ni shahidi wa kupanga tu..ili kuokoa jahazi
 
Sio mtaalamu wa tiba lakini najua binadamu tunatembea na sumu mwilini, nadhani kuna namna ya kutoa sumu hizo kwa kitaalamu. Nikitulia nitatolea ufafanuzi kwa msaada wa Google.
Wanatoa kimiujiza sana,niliwahi kuifanya Tabata.Unaingia kwenye mashine ya masaji ulmaliza kuna mashine nyingine wanaifunga kidude flan kinaingia kwenye container la maji unatia miguu kwenye maji maji yajaa rangi ya uchafu wanadai hyo ndo sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…