Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
- Thread starter
- #21
Tiba mbadala (Herbal)ok .basi hapo lulu anaweza kupona. anatumia mitishamba au tunguli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tiba mbadala (Herbal)ok .basi hapo lulu anaweza kupona. anatumia mitishamba au tunguli?
ok .bado ipo?Tiba mbadala (Herbal)
Kwa ushahidi huu na utetezi wa lulu mwenyewe huyu mtoto anaweza kuepukana na adhabu ya jelaHabari,
Kesi ya mauaji bila kukusudia inaendelea sasa hivi Mahakama Kuu, Kanda ya Dar. Upande wa utetezi unaendelea kutoa ushahidi ambapo leo ni Mke wa Dr. Slaa mama Mushumbusi ambaye alikuwa ni daktari wa Marehemu anatoa ushahidi ambao utasomwa na Askari Polisi aliyemsimamia wakati anaandika maelezo.
Updates...
Josephine Mushumbusi,
Mmoja ya wateja wangu, marehemu Steven Kanumba kwa mara ya kwanza alikuja kwangu mwaka 2011 kwa ajili ya kutoa sumu mwilini.
Marehemu alikuwa na matatizo ya damu, upungufu wa hewa kwenye ubongo, alikuwa anasikia maumivu ktk ubongo na akili kuchoka.
Lugha mbovu sana hii 'ken' ndio kitu gani andika vizuri ndugu ebooo!!Binadam una sumu mwilini keni we black mamba
Nadhani ndo maana jana kibibie kilituma clip kinaserebuka! haya tuwaachie mahakama nao tuone watasemaje.kwa ushahid huo
lulu is free
Kwa maoni yangu huyu mama hakuwa material witness kwenye hii kesi hasa kwa upande wa mashtaka...at least angekuwa ameletwa na upande wa utetezi kidogo tungesema Lulu yupo katika harakati za kuibua shaka katika kesi hii as far as the cause of death is concerned.
Huyo mama naye shomile ....hamjui tu?Kumbe huyu mama ni mtoa Sumu??
Kumbe ndo maana padre wetu kapotea njia....
Shomile yupo kazini... Hahaha dah kumbe had mm naweza nikawa na misumu?Habari,
Kesi ya mauaji bila kukusudia inaendelea sasa hivi Mahakama Kuu, Kanda ya Dar. Upande wa utetezi unaendelea kutoa ushahidi ambapo leo ni Mke wa Dr. Slaa mama Mushumbusi ambaye alikuwa ni daktari wa Marehemu anatoa ushahidi ambao utasomwa na Askari Polisi aliyemsimamia wakati anaandika maelezo.
.....................Updates.......................
Ushahidi wa Josephine Mushumbusi unasomwa na Detective Sergeant Nengea
Mmoja ya wateja wangu, marehemu Steven Kanumba kwa mara ya kwanza alikuja kwangu mwaka 2011 kwa ajili ya kutoa sumu mwilini.
Marehemu alikuwa na matatizo ya damu, upungufu wa hewa kwenye ubongo, alikuwa anasikia maumivu ktk ubongo na akili kuchoka.
Baada ya Detective Sergeant Nengea kumaliza kusoma ushahidi, Jaji amesema kuwa Detective Sergeant Nengea hawezi kuulizwa swali lolote kwa kuwa yeye alikuwa anasoma ushahidi wa mtu ambaye uliandikwa na sio yeye ndio alikuwa shahidi.
Baada ya upande wa utetezi kufunga ushahidi wao, Mahakama Kuu kesho itasikiliza maoni ya Baraza la wazee kuamua kama Lulu ana hatia au lah.
historia ya afya ya marehemu ni muhinu sana na uyu asingeitoa wala kukubalika kama siyo muhimu mbona mama ake kanumba hajatoa ushaidiMbona kama ushahidi uliosomwa upo mbali na Kesi hii? Nilitegemea ushahidi uwe ni wa daktari aliyefanya uchunguzi wa postmortem,ili aje na analysis yake kwa kutuambia kifo cha Kanumba hasa kilisababishwa na kitu gani....kisha mahakama ndio ihusishe ni kwa namna gani chanzo cha kifo hicho kinaweza kumuunganisha au kumuungua Lulu na kosa hili la kuua bila kukusudia.
Kwa maoni yangu huyu mama hakuwa material witness kwenye hii kesi hasa kwa upande wa mashtaka...at least angekuwa ameletwa na upande wa utetezi kidogo tungesema Lulu yupo katika harakati za kuibua shaka katika kesi hii as far as the cause of death is concerned.
hahahahaaa,sawa mkuu...nilisoma ila nahisi nili overlook some of information...nashukuru kwa kunirudisha kwenye track!Mkuu siku nyingine usidandie gari kwa mbele, soma kwanza post za nyuma na "current news"
Wanatoa kimiujiza sana,niliwahi kuifanya Tabata.Unaingia kwenye mashine ya masaji ulmaliza kuna mashine nyingine wanaifunga kidude flan kinaingia kwenye container la maji unatia miguu kwenye maji maji yajaa rangi ya uchafu wanadai hyo ndo sumu.Sio mtaalamu wa tiba lakini najua binadamu tunatembea na sumu mwilini, nadhani kuna namna ya kutoa sumu hizo kwa kitaalamu. Nikitulia nitatolea ufafanuzi kwa msaada wa Google.