Kesi ya Lulu: Mke wa Dr. Slaa asema Kanumba alikuwa na sumu mwilini, upungufu wa hewa na maumivu kwenye ubongo

Kesi ya Lulu: Mke wa Dr. Slaa asema Kanumba alikuwa na sumu mwilini, upungufu wa hewa na maumivu kwenye ubongo

Siyo kirahisi hivyo mkuu,kwani wangapi wanamatatizo hayo lakini bado wako hai? Lazima cause of death iwe established, matatizo yangeweza kuwa sababu kama angekutwa kafa kitandani,huyu alikufa baada ya kutokea ugomvi,mtuhumiwa ana kili kwamba kulikuwa na ugomvi baina yao.Manslaughter ipo pale pale ,,,Chape Kalangali alikutwa na hatia kwa kuwa tuu aliwasha AC ya gari na kulikuwa na mtoto mwenye matatizo ya pumu akafa.In Lulu's case ,What hastened death hata kama ikiwa kweli marehemu alikuwa na hayo matatizo.What was the cause of death?
Mbona Lulu alishasema kuwa alisikia pwaaaa! pwaaaa! yeye akiwa amejificha bafuni. bila shaka kwa hasira aliteleza na kugonga kichwa na ukuta then akapiga tena na sakafu ukizingatia ulishaambiwa alikuwa na sumu mwilini, hivyo alikuwa anakosa hewa katika ubongo na akili ilikuwa inachoka kutokana na sumu kali mwilini. Kusema ukweli kweli Lulu angeweza kumcharaza mangumi na vibao hadi amwue Kanumba, lijitu la kisukuma vile wakati ukizingatia wakati huo Lulu ni katoto ka chini ya miaka 18 tena wa kike.
 
naomba niseme sina maslahi binafsi na msanii Elizabeth Michael "Lulu" ila ninaguswa na wakati mgumu anaopitia na ukilinganisha na umri wake mdogo, pia napenda kuona haki ikitendeka kwa marehemu Kanumba "justice for Kanumba " na kwa vile kesi ipo mahakamani tuuache mahakama itekeleze wajibu wake .
Kuna hii tabia ya waandishi wa habari, japo sina hakika kama wote wale wanaoonekana na camera kama ni waandishi wa habari, kila siku wanakimbizana kumpiga picha Lulu, kwani anabadilika kila siku, picha za juzi na jana au Leo znakuwa na utofaut wowote? hebu waache ulimbukeni kwa kufanya kazi yao ya uandishi wa habari kishamba hivyo. wasitumie mwamvuli wa kutekeleza majukumu yao kwa kufanya" coverage " ya kitoto hivyo.
 
Mbona Lulu alishasema kuwa alisikia pwaaaa! pwaaaa! yeye akiwa amejificha bafuni. bila shaka kwa hasira aliteleza na kugonga kichwa na ukuta then akapiga tena na sakafu ukizingatia ulishaambiwa alikuwa na sumu mwilini, hivyo alikuwa anakosa hewa katika ubongo na akili ilikuwa inachoka kutokana na sumu kali mwilini. Kusema ukweli kweli Lulu angeweza kumcharaza mangumi na vibao hadi amwue Kanumba, lijitu la kisukuma vile wakati ukizingatia wakati huo Lulu ni katoto ka chini ya miaka 18 tena wa kike.
Yeye alisema kujitetea,kuna ushahidi mwingine ambao unakataana na hayo maelezo.
 
historia ya afya ya marehemu ni muhinu sana na uyu asingeitoa wala kukubalika kama siyo muhimu mbona mama ake kanumba hajatoa ushaidi
tusubiri tuone mahakama unasemaje ila niulizieni uyu mke wa dr slaa ni Dr au nurse by profesional
Ni mtu wa IT sio medicine nadhani halihitaji kuwa mwanasheria kujua ushahidi wake ni magumashi
 
Ndiyo watanzania hao,wanadai haki mpaka mbinguni kwa gharama ya kuwanyima haki wengine.
 
Mbona Lulu alishasema kuwa alisikia pwaaaa! pwaaaa! yeye akiwa amejificha bafuni. bila shaka kwa hasira aliteleza na kugonga kichwa na ukuta then akapiga tena na sakafu ukizingatia ulishaambiwa alikuwa na sumu mwilini, hivyo alikuwa anakosa hewa katika ubongo na akili ilikuwa inachoka kutokana na sumu kali mwilini. Kusema ukweli kweli Lulu angeweza kumcharaza mangumi na vibao hadi amwue Kanumba, lijitu la kisukuma vile wakati ukizingatia wakati huo Lulu ni katoto ka chini ya miaka 18 tena wa kike.
Unakijua kitu kinaitwa concussion?hata mtoto wa miaka 7 akikusukuma ukajigonga unaondoka especially kama umelewa kama Kanumba!Issue ya umri wa dada zetu ni utata usiwaamini sana
 
RIP Kanumba..lakini ilikuaje ukawa unakibaka kitoto kidogo hivi jomoni...
 
Back
Top Bottom