Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ok .basi hapo lulu anaweza kupona. anatumia mitishamba au tunguli?
Mbona Lulu alishasema kuwa alisikia pwaaaa! pwaaaa! yeye akiwa amejificha bafuni. bila shaka kwa hasira aliteleza na kugonga kichwa na ukuta then akapiga tena na sakafu ukizingatia ulishaambiwa alikuwa na sumu mwilini, hivyo alikuwa anakosa hewa katika ubongo na akili ilikuwa inachoka kutokana na sumu kali mwilini. Kusema ukweli kweli Lulu angeweza kumcharaza mangumi na vibao hadi amwue Kanumba, lijitu la kisukuma vile wakati ukizingatia wakati huo Lulu ni katoto ka chini ya miaka 18 tena wa kike.Siyo kirahisi hivyo mkuu,kwani wangapi wanamatatizo hayo lakini bado wako hai? Lazima cause of death iwe established, matatizo yangeweza kuwa sababu kama angekutwa kafa kitandani,huyu alikufa baada ya kutokea ugomvi,mtuhumiwa ana kili kwamba kulikuwa na ugomvi baina yao.Manslaughter ipo pale pale ,,,Chape Kalangali alikutwa na hatia kwa kuwa tuu aliwasha AC ya gari na kulikuwa na mtoto mwenye matatizo ya pumu akafa.In Lulu's case ,What hastened death hata kama ikiwa kweli marehemu alikuwa na hayo matatizo.What was the cause of death?
Yeye alisema kujitetea,kuna ushahidi mwingine ambao unakataana na hayo maelezo.Mbona Lulu alishasema kuwa alisikia pwaaaa! pwaaaa! yeye akiwa amejificha bafuni. bila shaka kwa hasira aliteleza na kugonga kichwa na ukuta then akapiga tena na sakafu ukizingatia ulishaambiwa alikuwa na sumu mwilini, hivyo alikuwa anakosa hewa katika ubongo na akili ilikuwa inachoka kutokana na sumu kali mwilini. Kusema ukweli kweli Lulu angeweza kumcharaza mangumi na vibao hadi amwue Kanumba, lijitu la kisukuma vile wakati ukizingatia wakati huo Lulu ni katoto ka chini ya miaka 18 tena wa kike.
NdioHio avatar ndo ww [emoji275]
Ni mtu wa IT sio medicine nadhani halihitaji kuwa mwanasheria kujua ushahidi wake ni magumashihistoria ya afya ya marehemu ni muhinu sana na uyu asingeitoa wala kukubalika kama siyo muhimu mbona mama ake kanumba hajatoa ushaidi
tusubiri tuone mahakama unasemaje ila niulizieni uyu mke wa dr slaa ni Dr au nurse by profesional
Ndio
LuluNani mchaga kwenye kesi
Yah japo kalelewa uhayaniLulu
🙁Nakuja naomba unipokee Pm
Unakijua kitu kinaitwa concussion?hata mtoto wa miaka 7 akikusukuma ukajigonga unaondoka especially kama umelewa kama Kanumba!Issue ya umri wa dada zetu ni utata usiwaamini sanaMbona Lulu alishasema kuwa alisikia pwaaaa! pwaaaa! yeye akiwa amejificha bafuni. bila shaka kwa hasira aliteleza na kugonga kichwa na ukuta then akapiga tena na sakafu ukizingatia ulishaambiwa alikuwa na sumu mwilini, hivyo alikuwa anakosa hewa katika ubongo na akili ilikuwa inachoka kutokana na sumu kali mwilini. Kusema ukweli kweli Lulu angeweza kumcharaza mangumi na vibao hadi amwue Kanumba, lijitu la kisukuma vile wakati ukizingatia wakati huo Lulu ni katoto ka chini ya miaka 18 tena wa kike.
Kuna ushahidi upi kuwa kweli kanumba alikwenda kutibiwa kwa Josephine ?kwa ushahid huo
lulu is free
hahahahaHao watoa sumu ni watu waongo waongo tuu,wanakwambia mambo ya kukutisha tisha,kwamba una hali mbaya utakufa baadaye na nini,nadhan huyo mama aliyatunga tuu .Serikali mbona ilishazuia hiyo huduma!
hatuwezi jua coz why ametumika kama shaidi na c mama kanumbaKuna ushahidi upi kuwa kweli kanumba alikwenda kutibiwa kwa Josephine ?