Kesi ya Lulu: Mke wa Dr. Slaa asema Kanumba alikuwa na sumu mwilini, upungufu wa hewa na maumivu kwenye ubongo

Kesi ya Lulu: Mke wa Dr. Slaa asema Kanumba alikuwa na sumu mwilini, upungufu wa hewa na maumivu kwenye ubongo

Siyo kirahisi hivyo mkuu,kwani wangapi wanamatatizo hayo lakini bado wako hai? Lazima cause of death iwe established, matatizo yangeweza kuwa sababu kama angekutwa kafa kitandani,huyu alikufa baada ya kutokea ugomvi..
Kina Kibatala watakamatia hapohapo. How about baada ya "ugomvi" wa kurushiana maneno, marehemu aliishiwa nguvu na kuanguka chini? Inaweza isiwe established kama alisukumwa au alianguka mwenyewe baada ya kupandwa na hasira. Ukishakufa bana, makosa yote wanakurundikia.
 
Kina Kibatala watakamatia hapohapo. How about baada ya "ugomvi" wa kurushiana maneno, marehemu aliishiwa nguvu na kuanguka chini? Inaweza isiwe established kama alisukumwa ali alianguka mwenyewe baada ya kupandwa na hasira. Ukishakufa bana, makosa yote wanakurundikia.
Lulu alimsukuma akatae akubali ,,ukweli tena ukute kalimpiga na kitu kichwani hako ,,we alivyokufa kanumba ,akafa komba,akafa seth tena siku ya birthday yake lulu
 
Josephine udakitari kausomea wapi ? Hahaha hahaha eti hadi ubongo moyo, chuo gani kasomea huyu Josephine ?
Mwenyewe nimeshangaa mara ya mwisho miaka ya 1999 hadi early 2000 akiwa kigoma kwenye mashirika ya wakimbizi hakua na proffesional hiyo labda tumuulize january makamba waliekua nae kasulu atueleze kama kweli ni daktari
 
Mbona kama ushahidi uliosomwa upo mbali na Kesi hii? Nilitegemea ushahidi uwe ni wa daktari aliyefanya uchunguzi wa postmortem,ili aje na analysis yake kwa kutuambia kifo cha Kanumba hasa kilisababishwa na kitu gani....kisha mahakama ndio ihusishe ni kwa namna gani chanzo cha kifo hicho kinaweza kumuunganisha au kumuungua Lulu na kosa hili la kuua bila kukusudia.

Kwa maoni yangu huyu mama hakuwa material witness kwenye hii kesi hasa kwa upande wa mashtaka...at least angekuwa ameletwa na upande wa utetezi kidogo tungesema Lulu yupo katika harakati za kuibua shaka katika kesi hii as far as the cause of death is concerned.
Ndo tuseme kua alipo teleza kipind anamfukuza lulu ndo sumu ikamuua
 
Sumu ipi, kila Sumu Ina Jina lake, mambo yawekwe kisomi, Sumu fulani katika kiwango fulani mwilin.

Naona km hayo maelezo hayajitoshelezi
Alafu Wakili akazuia msomaji wa maelezo asihojiwe sababu sio yeye aliyesema!Kibatala namuaminia ila hapa kama karusha ngumi ovyo kuleta ushahidi wa vipimo vya kitabibu vilivyofanywa na mtu asiyekua hata na certificate ya lab attendant
 
Kina Kibatala watakamatia hapohapo. How about baada ya "ugomvi" wa kurushiana maneno, marehemu aliishiwa nguvu na kuanguka chini? Inaweza isiwe established kama alisukumwa au alianguka mwenyewe baada ya kupandwa na hasira. Ukishakufa bana, makosa yote wanakurundikia.
Kibatala ndio shahidi wake atamkamata vipi?
 
Wadada hiki ni kipindi chenu cha kwenda kupata mitindo mbalimbali kutoka kwa Lulu, wanaume pia ni kipindi cha kupata picha za puchu usiku.
 
Alafu Wakili akazuia msomaji wa maelezo asihojiwe sababu sio yeye aliyesema!Kibatala namuaminia ila hapa kama karusha ngumi ovyo kuleta ushahidi wa vipimo vya kitabibu vilivyofanywa na mtu asiyekua hata na certificate ya lab attendant
Kiukweli hapo hakuna reliable info. Kuhusu kilichokua kinamsibu marehemu maana hayo ya sumu aliambiwa na marehemu siku ambayo alipanga kuonana nae alikua na watu wengi kwahyo hakufanya hata vipimo vyovyote kubaini iyo sumu
 
Back
Top Bottom