Kesi ya Masheikh yaitwa Mahakama Kuu

Nani aliwaweka huko?
 
Kwahiyo wao waliwamwagia kindikali watu wasiokuwa na hatia ni sawa mkuu??
 
Kupigwa risasi mapadri,kuchoma makanisa na kumwagiwa watu tindikali yale matukio mbona yalisizi baada ya masheikh kukamatwa?
 
Hawa ni magaidi wasitolewe huko kabisa! Ni watu hatari kwa muungano!.Hakuna Rais yupo tayari Tanzania imfie mikononi MWAKE! Hao kutoka huko sio Leo wala kesho!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Akili hizo ameondoka nazo jamaa!!sasa hivi utaanza kuona kila mtu anatumia akili zake, bila kumuogopa alijyejiita Mungu mtu!!kama wana hatia wanyongeni kabisa.
 
Umeongea kwa chuki sana ndugu yangu pole sana si mda mrefu Mashekh watakuwepo ulaini Dua yao Mwenyezi Mungu ameisikia kile kizingiti kikubwa kabisa Allah amekiondoa na amemleta mwenye huruma anayejua maana ya Uisilamu
 
Kwahiyo J.M.Kikwete na A.M.Shein waliowakamata Hawa Masheikh hawakuwa wanaujua Uislam?
 
Nazani jibu ni wakati ambao mwenyewe unaona jinsi kesi inavyokwenda haraka kutoka kwenye utawala ambao ulikataa hata waandishi wa habari kuandika muendelezo wa kesi
 
Hivi kwa nini unamtukana Mtume wa Mwenyezi Mungu,tena Mtume wako!
 
Ila i am sure, kama walifanya kweli wanachotuhumiwa, basi hata wakiachiwa watakuwa wameshashika adabu, hawatorudia huo ushenzi
 
Hawa walitakiwa kunyongwa kimya kimya tuu
 
Umeongea kwa chuki sana ndugu yangu pole sana si mda mrefu Mashekh watakuwepo ulaini Dua yao Mwenyezi Mungu ameisikia kile kizingiti kikubwa kabisa Allah amekiondoa na amemleta mwenye huruma anayejua maana ya Uisilamu

Kwa hiyo huenda ni kweli kile kinachosemekana kuwa mnashinikiza hukumu itolewe ili kisha mumtake Mama asamehe waislamu wenzie?

Sijui kama yuko aware of that !

Ngoja tuone!
 
Mbona Gwajima alitukana waisilamu na nyumba zao za ibada,alichukuliwa hatua gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…