Kesi ya Masheikh yaitwa Mahakama Kuu

Kesi ya Masheikh yaitwa Mahakama Kuu

Katika moja ya matendo maovu na kuvunja kaki za binadamu yaliyokuwa yanafanywa na utawala wa huko nyuma ni Haya, Yaani mtu unateswa na kupewa kifungo hata kabla mahakama haijakuhukumu, HILI NI KOSA KUBWA SANA NA KWA MAUMIVU WALIYOYAPATA HAWA, MUNGU AWEZA TOA HUKUMU MBAYA KWA WALIOSABABISHA MATESO HAYA, FIKIRIA RUMANDE MIAKA 8, HII HAIPO MAHALI POPOTE DUNIANI HATA GUANTANAMO BAY YA MAREKANI HAIJAIFIKIA
Nani aliwaweka huko?
 
Kwahiyo wao waliwamwagia kindikali watu wasiokuwa na hatia ni sawa mkuu??
 
Tanzania hakuna ugaidi, na hakujawai tokea matendo ya kigaidi, vyombo vya ulinzi vipo makini, na kingine asili ya watanzania ni waoga na wanyenyekevu, hao masheikh issue yao walikuwa wanapinga muungano, na serikali imeapa kuulinda muungano kwa namna yoyote ile

Kupigwa risasi mapadri,kuchoma makanisa na kumwagiwa watu tindikali yale matukio mbona yalisizi baada ya masheikh kukamatwa?
 
Hawa ni magaidi wasitolewe huko kabisa! Ni watu hatari kwa muungano!.Hakuna Rais yupo tayari Tanzania imfie mikononi MWAKE! Hao kutoka huko sio Leo wala kesho!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Akili hizo ameondoka nazo jamaa!!sasa hivi utaanza kuona kila mtu anatumia akili zake, bila kumuogopa alijyejiita Mungu mtu!!kama wana hatia wanyongeni kabisa.
 
Umeongea kwa chuki sana ndugu yangu pole sana si mda mrefu Mashekh watakuwepo ulaini Dua yao Mwenyezi Mungu ameisikia kile kizingiti kikubwa kabisa Allah amekiondoa na amemleta mwenye huruma anayejua maana ya Uisilamu
 
Nazani jibu ni wakati ambao mwenyewe unaona jinsi kesi inavyokwenda haraka kutoka kwenye utawala ambao ulikataa hata waandishi wa habari kuandika muendelezo wa kesi
 
Ila i am sure, kama walifanya kweli wanachotuhumiwa, basi hata wakiachiwa watakuwa wameshashika adabu, hawatorudia huo ushenzi
 
Hawa ni MAGAIDI

kwasababu:-

•Waliwamwagia Watalii tindikali huko Zenji

•Waliuwa Watalii watatu Mombasa

•Walimmwagia Padri tindikali kule Zanzibar

•Wanataka kusimamisha dola inayopingana na BAKWATA na BALUKTA, Dola ya kiislam chinja chinja itakayoua makafiri endapo hawatasilimu, dola itakayoleta Mahakama ya kadhi

•Walipishana mpaka na Waislam wenzao

•Wanajifanya wanapigana jihad kumbe Jihad Ugoro, jihad ya sasa ni ya Nafsi tu

Wasiachiwe Hawa ni hatari kwa Amani ya nchi yetu.

Amani ikipotea sio kazi rahisi kuirudisha, wasianzishe vikundi vya kigaidi kama huko Malawi, Somalia n.k

Magaidi Matupu.

Hawa walitakiwa kunyongwa kimya kimya tuu
 
Umeongea kwa chuki sana ndugu yangu pole sana si mda mrefu Mashekh watakuwepo ulaini Dua yao Mwenyezi Mungu ameisikia kile kizingiti kikubwa kabisa Allah amekiondoa na amemleta mwenye huruma anayejua maana ya Uisilamu

Kwa hiyo huenda ni kweli kile kinachosemekana kuwa mnashinikiza hukumu itolewe ili kisha mumtake Mama asamehe waislamu wenzie?

Sijui kama yuko aware of that !

Ngoja tuone!
 
Mbona Gwajima alitukana waisilamu na nyumba zao za ibada,alichukuliwa hatua gani
 
Back
Top Bottom