Kesi ya Masheikh yaitwa Mahakama Kuu

Kesi ya Masheikh yaitwa Mahakama Kuu

Mbona Gwajima alitukana waisilamu na nyumba zao za ibada,alichukuliwa hatua gani


Kipimo gani unaweza kupimia kujua hili ni Tuse na hili si tusi?

Je impacts na magnitudes ya jambo hilo yaweza kuwa ya kiasi gani?!

Ni mawaidha mangapi yanayoongelewa kinyume mitaani huko yakinuu kina Paulo Mtume, Yesu n.k kwenye mihadhara lakini wakristo wanamwachia Mungu wao ajipiganie mwenyewe badala ya kuanza kumpigania?!

Simtetei najadili hoja.

Huwezi linganisha mihemko ya watoa mawaidha ya kiimani zidi ya hoja ya Ugaidi.

Ni maswala mawili tofauti sana.

Hilo waweza lifungulia uzi wake tofauti na huu uliopo.
 
Hawa ni MAGAIDI

kwasababu:-

•Waliwamwagia Watalii tindikali huko Zenji

•Waliuwa Watalii watatu Mombasa

•Walimmwagia Padri tindikali kule Zanzibar

•Wanataka kusimamisha dola inayopingana na BAKWATA na BALUKTA, Dola ya kiislam chinja chinja itakayoua makafiri endapo hawatasilimu, dola itakayoleta Mahakama ya kadhi

•Walipishana mpaka na Waislam wenzao

• Walichoma Kanisa

• Walitrain vijana kujifunza karate, kutumia jambia na bunduki katika kufanya ugaidi na mfano mzuri ni RASHIDI CHARLES MBERESERO, ambaye naye alishtakiwa huko Kenya na akajiua hivi majuzi.

•Wanajifanya wanapigana jihad kumbe Jihad Ugoro, jihad ya sasa ni ya Nafsi tu

Wasiachiwe Hawa ni hatari kwa Amani ya nchi yetu.

Amani ikipotea sio kazi rahisi kuirudisha, wasianzishe vikundi vya kigaidi kama huko Msumbiji, Somalia, Kenya n.k

Magaidi Matupu.

Mzee unajua Nini maana ya ugaid? Au apo ndo mwisho wako wa kufikiri? Asilimia 70% ya Wa Tanzania watakufa na akili bikra akili zilizokuwa hzijatumika! Jarib kutumia akili vzr halaf uje u comment tena
 
Mzee unajua Nini maana ya ugaid? Au apo ndo mwisho wako wa kufikiri? Asilimia 70% ya Wa Tanzania watakufa na akili bikra akili zilizokuwa hzijatumika! Jarib kutumia akili vzr halaf uje u comment tena
Wewe unayejua ungeandika maana yake, vinginevyo umeleta tu upambe na ukuda
 
Ndugu yangu hakuna Muisilamu anayeweza kumuongelea vibaya Yesu (ISSA bin Mariam)kwa ni Mtume wa Mweyezi Mungu.Tumeamrishwa Waisilamu asiye waamini Mitume wa Mwenyezi Mungu na Vitabu vyao huyo siye Muisilamu.
Kwa hiyo Waisilamu tunamuamini YESU pamoja na Enjili kama ilivyo kwa MUSA na Torati. Tunachotofautiana kusema YESU MUNGU na mafundisho
ya kusema alisurubiwa akafia msalabani,Tunaamini alipalizwa mbinguni kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu na Ataludi tena kabla ya Kiama. Hapo ndugu yangu nimekutukana
 
Ninachokushaur jarib kuchimba ujue nn maana ya ugaid halaf uje tena hapa naona bado upo na matope kichwan
Hujui chochote unarukaruka tu. Kama umegundua Mimi sijui wewe unayejua si unijuze?
 
Haki ya mshtakiwa ni kufungwa kama ushahidi umetosha au kuachiwa huru na wao wanastahili kimoja kati hivo viwili. Upepelezi kutokukamilika miaka 8 ni kunyima haki yake ya kufungwa au kuachiwa huru. Ila tolea hawa masheikh wawe mahabusu Zanzibar imetulia kuchoma moto makanisa na kusumbua watalii kwa kuwachapa bakora.
 
Kupigwa risasi mapadri,kuchoma makanisa na kumwagiwa watu tindikali yale matukio mbona yalisizi baada ya masheikh kukamatwa?

Mkuu yale matukio yalifanywa na TISS katika kutengeneza mazingira ya kuwakamata hao mashehe, Hao mashehe mahubiria yao yalikua ni direct kuhoji Muungano, hayakuwa yakihusiana na masuala ya mapadri kabisa
 
Nyie endeleeni kutaka damu za watu huko Msumbiji na sisi tutaamua kujilinda wenyewe, sheikh gani anafundisha watu kuchinja?

Lete kithibitisho!!! Maana wengi wenu mnaongea kwa chuki na si facts wala ushaidi., ndio tatizo lenu
 
Back
Top Bottom